Nimekukomesha mshenzi wewe, bastard!

I tried to be professional and detach myself from my emotions," Anna Mackowiak, 34, told the Austrian Times. "But when I saw him lying there I just thought, 'What a bastard' and decided to take all his teeth out."

dentist.jpg

In this unrelated photo, a patient receives dental treatment (AP/Esteban Felix)








this is evil pure and simple..........................hakuna utetezi hapo
 
Smile na Madame X,mmefurahia professional misconduct!! sio vizuri
 
huyo daktari itabidi anyang'anywe leseni yake hii sasa ni nje ya kiapo chake...........

Huu ni unyanyasaji wa KIJINSIA Kabisa! Mpenzi wa zamani kadhulumiwa haki yake ya huduma mwafaka ya afya kwa kuangukia mikononi mwa dentist mwenye BIFF naye!

Au ni ukiukwaji wa HAKI ZA MENO? Dunia hii haiishiwi vituko!
 
daah safi sana

Aisee sister inaonyesha una wivu na roho mbaya sana!!! Kufurahia binadamu mwenzio kufanywa kibogoyo kwa sababu tu ya mapenzi siyo jambo la kushabikia hata kidogo; eti kisa mwanaume?
 
Angemuondoa ili ya ndani ya zipu ningemwona anazo akili kidogo ila kwa kumng'oa meno amejikomoa mwenyewe. Mbona jamaa atanunua meno ya bandia tu!

Mkuu meno ya bandia mdomo wote, ni mateso makubwa sana!
 
mimi ningekata na huo mdomo kabisa fyekelea mbali....

Angemngoa ili inyohifadhiwa ndani ya zipu angekuwa na akili japo kidogo.
Mbona njemba atanunua meno ya bandia na ata-smile kama kawa tu!
 
Mkuu meno ya bandia mdomo wote, ni mateso makubwa sana!

Haijalishi mkuu, mchuzi ataonja na utambu wa nyama atausikia kama kawaida.
Huyo dada hakumjua adui, afadhali angempiga dawa ya usiingizi halafu akamfungua zipu na kufyeka ile kitu jamaa anaringia.
 
Na why umng'oe mwenzio meno kwa hasira zako?? This is not fair kabisa, atleast angekataa kumhudumia akahudumiwa na wengine!!
 
Na why umng'oe mwenzio meno kwa hasira zako?? This is not fair kabisa, atleast angekataa kumhudumia akahudumiwa na wengine!!

Usikute huyo kidume kwenda kwake ilikuwa gia ya kumrudia kishtobe wake!
 
Back
Top Bottom