Nimekua msomaji hapa kwa muda ila nimetia timu kabisa

Kweli nashukuru sana kwa ukaribisho wenu.comments nyingi zimenifurahisha kweli kweli,nilishindwa kuingia hapa kwa sababu nilikuwa na kazi kidogo ya kuandaa.Kuna wale walioanza kurusha ndoana,hiyo ni haki ya msingi kabisa.kuna waliouliza kama nimeolewa,hapa nitajibu siku nyingine please!
Tukae tuelimishane,tufurahiane,tutaniane,tujenge uhusiano mwema.jina la jukwaa hili ni positive halina negativity yoyote naamini hapa tutajikita katika kujenga urafiki na kudumisha undugu wetu zaidi.

Kuna mkuu mmoja hapo juu kasema karibu Halima mdee,naomba niseme tu wazi una haki ya kuhisi hivyo kwa kuwa tunatumia ID isiyo rasmi hata hivyo ukiwa makini utajiridhisha kidogo kwa utafiti,Kwa hiyo naomba tu niseme kwamba Mimi SIO HALIMA MDEE.Asanteni wakuu wa jukwaa la Uhusiano/mapenzi na Urafiki
 
karibu sana mrembo! hata mimi nimeshindwa kuvumilia...imenibidi kuayogea.
kwa kuwa naona wewe musician nami pia musician-think we can make a perfect collabo ama vp?
 
Wakuu wa JF,

Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili jukwaa la mapenzi/uhusiano na Urafiki huwa nalihusudu sana.Tuwe pamoja jamani

Miss Parliament,

You are warmly welcome.Social interactions can give you relief...karibu sana.Encourage na wengine wafanye social networking na kutoa dukuduku lao hapa kuliko kwenda kutumia muda wa Bunge vibaya kujadili maswala yaliyotokea kwenye jukwaa la mahusiano na Urafiki bungeni muda wa budget...I believe you will be inscrutably remonstrative,Friendly transcendental,quixotically and publically cosmopolitan and a ready conveyor-belt of social Interaction tomahawks!

Karibu sana ujisikie nyumbani
 
Uchangiaji wako utajipambanua tikiona unashabikia hata hoja nyepesi na kusema hawa kweli wapiganaji tutajua unatoka chama kileeeee na ukiwa unatetea ujinga unaooneka dhahiri shahiri kuwa ni ujinga tutajua unatokea chama hichi hapa! Na kama unacho chama hata siku moja hutaweza kuwa huru kwani itakubidi upige ndogondogo kwa chama chako na kutudanganya kuwa upo huru.
 
Karibu sana Miss Parliement, cjui umetokea viti maalumu wa cdm au magamba? Anyway karibu sana!
 
Miss Parliament,

You are warmly welcome.Social interactions can give you relief...karibu sana.Encourage na wengine wafanye social networking na kutoa dukuduku lao hapa kuliko kwenda kutumia muda wa Bunge vibaya kujadili maswala yaliyotokea kwenye jukwaa la mahusiano na Urafiki bungeni muda wa budget...I believe you will be inscrutably remonstrative,Friendly transcendental,quixotically and publically cosmopolitan and a ready conveyor-belt of social Interaction tomahawks!

Karibu sana ujisikie nyumbani

Asante Mpenzi Ben,

Thanks 4 ur soul touching Message.Ninyi The Boss,Mwanakijiji,First Lady1,Regia,Lizzy,Afrodenz,Mwanajamii1,Baba Enock,Biringita,husninyo,Balantanda,Speaker,Bishanga,Bht,Preta.........na wengine wengi siwezi kumaliza nimetaja randomly tu Inabidi mtuongoze njuka wa kwenye jukwaa kama hili hadi tukomae,Ukweli ni kwamba navutiwa sana na michango yako,siwezi kujizuia kutabasamu.Ukiendelea hivyo utafika mbali.Wewe ni mojawapo wa wanasiasa chipukizi ninaowahusudu sana,nina matumaini unasaidiana na wenzako kujenga Chama sasa.Ila hapo nilipoweka bold umeniacha hoi,naona unaweka chachandu kwenye lugha.

Usitumie hiyo lugha-acid kwa wifi kama yupo.he he.by the way nimependa hiyo signature yako Saanane!
 
Miss Parliament,

You are warmly welcome.Social interactions can give you relief...karibu sana.Encourage na wengine wafanye social networking na kutoa dukuduku lao hapa kuliko kwenda kutumia muda wa Bunge vibaya kujadili maswala yaliyotokea kwenye jukwaa la mahusiano na Urafiki bungeni muda wa budget...I believe you will be inscrutably remonstrative,Friendly transcendental,quixotically and publically cosmopolitan and a ready conveyor-belt of social Interaction tomahawks!

Karibu sana ujisikie nyumbani

Duh..haya bwana! mi sijaelewa..i hope miss parliament amenkunyaka vilivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom