Nimekoma sirudiii tenaaa!

yalinikuta leo,

nikiwa home nimetulia huku nimefulia mara napokea cm kwa mdada kuwa ananihitaji kwenye mambo ya wakubwa yale, bt akasema atalipia kila ki2,bt poa ingawa moyo wngu ulisita bt shetani akanizidi nguvu bhana, so akanielekeza chumba alifikia, bt kumbe alikosea number ya chumba, daaahh kilichonikuta sasa, si nikagonga mlango kile chumba na ndani kulikuwa na mzee anasubilia goma lake.

Basi mzee akafungua zen akajificha nyuma ya mlango akijua n goma na me nikijua ni goma langu,nilivyoingia bila ya kuangalia nyuma na mzee akanihug mgongoni bt nikahisi naguswa na kitambi chenye mvii, dahhh kugeuka wote tukashtuka na mm nikakimbia bila ya kugeuka na ule mzee jogoo wake alinywea fastaaaaaa,na taarifa nilizopata mzee alisepa akijua kafumaniwa.

Ebwaaana mm nimekoma ni mara ya kwanza na mwisho nimekomaaaa, bt wazee nao walikuwa wapi ujana wao??

Good 9t guyssssssssssss

hahahaha.......wewe uende mwenyewe halafu umsingizie shetani,........ Ukipenda raha ukumbuke na karaha mzee.
 
Et "Jogoo wake alinywea fastaa" we jamaa kama si mtoaji uo utumbo ...basi utakuja kuliwa soon...Vile embarrassed as A Man sina hata guards za kuhadithia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
huyo mudada mubaya sana. alikulengeshea maksudi kwa huyo mzee mende ili akupumulie. pole sana.
 
Ni kama msiba bt usikie kwa jiRani na usiombe ufike kwako. Bt pouwa nimeshajifunza mengi ya maisha, and dat nilikuwa najifunza, so ctaki tena..........
 
Back
Top Bottom