NIMEKOMA kushobokea vi-offer mbuzi! (My Bad Friday Night)

Mh! nahisi kizunguzungu, kwani hata kama ingekuwa ni Famous Grouse Gold Reserve 12 Year Old bado najiuliza ilkuwa ni chupa nzima au?
Kwa huku bongo bei yake mpaka sasa imfikia 15,000 kwa tort moja na hapo nazungumzia 5 Star Hotel, sasa kama ni Chinese Pub, Sidhani inaweza kufikia bei hiyo...

Hii mwanangu lara 1 kwangu mimi ni ngumu kumeza...
blend_fam16.jpg

Hahahaaaa! Mtambuzi bwanaaa! Ishu ni kuwa that staff was CHINESE/TAIWANESE sijui hata ilikuwa nini, na vipimo ni tuglass tudogo, mwenyewe niliassume chinese staff ni cheap kuliko za kidhungu, ndo kushangaaa! Nahisi kosa ni kumuuliza the favourite, yeye Akanikomoa na kunipa the expensive. Na ningekuwa najua the staff ningekomalia bei bt ndo iko in chinese. Nikawa mpole tu! The bill was not thaaaaat big ila HAIKUWA MPANGO KUTUMIA ZAIDI YA 10,000 Tarehe mbaya kama hizi. LOL! Ndo maana sijaweka bei coz mada ingekuwa kama bill ni kubwa au kiasi au ndogo!!!1 Hahahaaaaa! Hata 20,000 kwangu kubwa sana kama sikuipangia, LOLEST!
 
Mkuu Mtambuzi kwani ww ni sharo?kidate chako nakifikiria ila unipe kwanza external features zako nikutathmin
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahhahahahaha

sipati picha ambavyo ungepigwa karate za uso!
Hongera kwa kumsitili sharo wako!
 
Angalia usizoee sana,halafu hiyo ndo faida ya usaliti si ulitaka kumsaliti mchaga wa watu,haya yamekukuta.nilitaka nikutumie vijipesa kama mchango wangu lakini umeniudhi kumbe we mali ya mutu tena mutu menyewe Muchaghaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Give me a break bana!!!!!!!!!!!! Ilikuwa ni a friendly outing tu!!!!! LOL! Hapana kumsaliti muchagaaaaaaaaaa! Ila nimekoma kweli kweli si utani. Acceptance ya huo msaada nimekupa if the offer still stands!!! LOL!
 
Hahahaaaa! Mtambuzi bwanaaa! Ishu ni kuwa that staff was CHINESE/TAIWANESE sijui hata ilikuwa nini, na vipimo ni tuglass tudogo, mwenyewe niliassume chinese staff ni cheap kuliko za kidhungu, ndo kushangaaa! Nahisi kosa ni kumuuliza the favourite, yeye Akanikomoa na kunipa the expensive. Na ningekuwa najua the staff ningekomalia bei bt ndo iko in chinese. Nikawa mpole tu! The bill was not thaaaaat big ila HAIKUWA MPANGO KUTUMIA ZAIDI YA 10,000 Tarehe mbaya kama hizi. LOL! Ndo maana sijaweka bei coz mada ingekuwa kama bill ni kubwa au kiasi au ndogo!!!1 Hahahaaaaa! Hata 20,000 kwangu kubwa sana kama sikuipangia, LOLEST!

Labda itakuwa ni hii kitu ndo mlichouziwa

ec85f7a9d9dfb4c074e6_scotch.jpg
 
Peopleeeeeeeeeessss! (Wakubwa zangu shikamooni)

Natumai wote wazima, na hakuna alieshikwa kwenye maandamano sababu wengi wenu wazee WAKUJIKAUSHA na kufatilia kwenye tv. (With the exception with fazaa, sijui kama umepona mpambanaji wa ukweli) Mie mzima nimetoka kwenye upambe nuksi wa uchaguzi wa Wanawake wa CCM huko (lazima nijikombe viti maalumu mchezo!!!) na mgombea wangu kashindwa, anyway sio mwisho wa dunia, tunajipanga upya. Life has to go on.

Kubwa lilinonileta hapa ni tukaio lililonikuta ijumaa jioni, Daaaaaah! Acheni tu! Almanusura nipewe MITAICHI, TAIKONDO, JUDO, KARATE, SUMARAI, KUNGFU, SUMO NA KICK BOXING KWA MPIGO!!!! Chezeya wachina nyie.

Ishu ilikuwa hivi, mchaga kasafiri kikazi sasa nikaona kuwahi kulala ijumaa kwa sie wanywaji ni zambi, so nitafute mishe mishe za japo kupunguza kiu kwa tuhenken tuwili ili nisiamke na hangover. Basi kuna sharo flani hivi aliniofferga dinner , nikawa sisomeki kwenye radar, sasa kila nikikutana nae inakuwa kama deni vilee, haishi kuniinvite over n over. Nikaona nimtafute tukapunguze mawazo kidogo. Basi nikamuuliza if the offer still stands akasema yah! Tukaonana tayari kwa dinner.

Akaniuliza ungependa kwenda wapi? Nikamwambia chagua weye! (Maksudically sabab yeye ndo anajua ana bajeti gani, itatosha wapi, alaf hawa masharo wasumbufu sana, ukimpeleka uswazi anaweza kukushusha bure) Akangangania bana chagua mwenyewe(mie ndo nichague) Mimi nikachgua bana, twende kwenye kisehem flani cha wachina nasikia wanauza wine na liquor za China, Taiwan na Hongkong. Akakubali banaaa. Kufika ushamba mzigo, nikamuuliza mhdumu whats is the favourite ya wengi hapo, akanitajia nikamwambia tuletee. Inapimwa kwenye tuglass tudogo, sie tunatirishia tumboni tu. Ni tamu kusema kweli, magnificient! Glass moja yaanzisha ingine.

Midamida tukaitisha bili basi, sharo kuona bili sura ikamsawajikaaa! mie kimyaa!,Mara akanigea nikaitazama, ni nomaaa! Kumbe the shit was damn expensive!!!! Ila nikanyuti sikusema chochote. Basi ndo kuniambia kwa upole, i cant cover this bill, nina shoti!!! Mtumeeeeeeeee! Na mie ndo sikubeba pesaa! Chupi ilinibanajeeee! Nikajikaza kibingwa nikamwambia toa basi uliyonayo, Ndo kunipa robo ya bili!!!!!!!!! Nikaona huyu anatka anichakachue, mwenyewe wa kitaa vile vile, nikamwambia Mimi natoa pesa ya nusu yangu tuuu, we hiyo robo iliyobaki utajiju! Nikaza kwenye kitita cha ofisi nikakwapua kadhaa, kumcheki huku mtu chozi linamlengalenga. Nikaona aibu za nini nikamuita muhudumu, nikamlipa bili yote. Sema ndo kanitia SHOTI KUBWAAA! HAIKUWA MPANGO!!!! Tukaondoka kimyakimya, njiani analeta story za ILL MAKE IT UP TO U!!!!( He will make it up to me My As*) I SO SORRY! Blah! Blah! Blah!

Hapa najamba jamba kupata pesa ya kujazia kitita cha ofisi kesho ndo kesho!!!! Na uchaguzi ndo tumepoteza, najihisi malaria, sijui nimwambie nini mchaga anitumie hizo MBESA za watu.

Hahahahahaaaaa., lara 1 I lav u asee hata dada yangu gfsonwin nilishawahi mwambia, leo nimeshindwa kuvumilia wacha niseme tu hazalani, huyo mchaga akimaize nitajua wapi pa kumtuliza maana uzaifu wao ni mmoja kama walizaliwa tumbo moja. Ila na wewe nani kakwambia masharo haro wana mpunga? hamna kitu pale ni :blabla: tu asee.
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo hapa unathibitisha kwamba duniani hakuna free lunch!! haya sasa kazi ni kwako, chaguo ni lako lara.

Hapa najaribu kuomba donations kwa wana CDM sababu CCM nilishalikoroga na team yangu ndo tumebwaga, lasivo tungeshinda ningekuwa nachukua gawio la upambe nuksi!!!! Chonde chonde watanzania wote ni ndugu! LOL!
 
Unge kubali akupeleke bar ya kawaida tu! Maana huyo sharo kakusoma kaona akikwambia pakawaida unge kataa!

Lakini imani za kioga zimemponza na kushauri umwambie na yeye atafute na yeye kiasi kidogo!
Hahahaaaa! Ndo najamba jamba hapa kujazia Cash ya ofisi. Mambo mengine ya kuaibishana
 
Hahahahahaaaaa., lara 1 I lav u asee hata dada yangu gfsonwin nilishawahi mwambia, leo nimeshindwa kuvumilia wacha niseme tu hazalani, huyo mchaga akimaize nitajua wapi pa kumtuliza maana uzaifu wao ni mmoja kama walizaliwa tumbo moja. Ila na wewe nani kakwambia masharo haro wana mpunga? hamna kitu pale ni :blabla: tu asee.

Ndo nimegundua Masharo hamna kituuuuu! Mimi kilichoniponza ni ule usafiri wa mdingi wake, full kiyoyozi, basi mwenyewe anangaaa! Alafu bonge ya gentle man! LOL! Yaani saivi mtu sijui hata ujiweke wapi!!!!!
 
lara 1 weeeee....

Dah kuntosa mm juzi kumbe waenda kulizwa hela.
 
Last edited by a moderator:
1. Mazungumzo ya nanai atalipa bill ni muhimu kufanyika kabla ya ki date.

2. Ni muhimu kujua kama si bei kamili ya chakula na vinywaji wakati unatoa order, bali hata a round figure.

3. Kamwe usile kitu ambacho huwezi kulipia kwani kistaarabu hata kama angeweza kulipia bill yote, siku nyingine ungetakiwa kumtoa yeye (dada zetu bongo sijui kama mila hii imefika huko) na ukishindwa kulipiza itatoa sura si nzuri.

4. Pia ni muhimu kujua uwezo wa kulipia kabla ya wakati kwa sababu mnaweza kuagiza vinywaji kwa raundi, sasa itakuwa aibu mwenzako akiagiza raundi nenda raundi rudi na wewe umebung'aa tu, unajifanya mwanamke wa kileo (unless mshakubaliana kwamba wewe si mwanamke wa kileo) wakati huwezi kanuni ya reciprocity.
 
Back
Top Bottom