Nimekatwa 12, 000 kwenye mshahara

Kiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Hacha tuisome namba
Labda umechangia maafa ya Kagera
 
Sasa kama mwalim mzima,unashindwa kujua kwanini unakatwa.Hao wanafunzi assignments mnazowapa inakuwaje kweli.
Kwenye slip si inaonyesha?maana makato yoyote kweye salary lazima yaonyeshe ni makato ya nini.
Fuailia,acha kulalamika Mwalim unaenitia mashaka na taaluma.
Hata mimi nahisi huyo ni mtumishi hewa
 
Huu uhakiki mpya utakaoanza mwezi wa kumi utachukua siku 14 kwa kauli ya waziri sasa fikiria mkulu alisema anaomba mwezi mmoja na nusu mwisho miwili bado hajamaliza,je hizi siku 14 haxitakuwa miezi mitatu?
 
Kiukwel nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu. Acha tuisome namba
Bodi ya mikopo wameupdate % Deduction code inayotumika sasa ni Automatic inabadilika kulingana na mshahara unavyobadilika inawezakana ulianza kukatwa kitambo lakini kiwango kilekile static
 
Mkuu kwa mtizamo wangu... walimu wasingekatwa mkopo maana najua kwa mshahara wao itakuwa majanga.... na Tz
inawahitaji walimu zaidi na zaidi. ... JPM plz walimu waondoe kwenye makato ya mikopo ya
bodi....
Waondolewe vipi kwani wao wanaanza na mshahara wa shingap ambapo mwingine anae maliza degree sawa na wao anapata shi ngapi??
Msitetee walimu kuwafanya special group walipe tu na wengine wasome kwa hzo pesa
 
Waondolewe vipi kwani wao wanaanza na mshahara wa shingap ambapo mwingine anae maliza degree sawa na wao anapata shi ngapi??
Msitetee walimu kuwafanya special group walipe tu na wengine wasome kwa hzo pesa
Mkuu waalimu tiyari ni special gp mkuu... umeandika ulicho andika sbb yao... kila fani
ipo sbb yao ila mbaya zaidi hawana marupurupu mengine.... wao ni mshahara tu... fani nyingine setup yake inawapa vihela kudogo....
 
Kiukweli nimesikitika sana baada ya kukuta mshahara wangu umepungua ukizingatia sisi walimu mishahara midogo makato mengi jumlisha mikopo yaani ni shida tupu.

Acha tuisome namba.
TATIZO
HASA NINI MWEZI HUU EBU TUJUZANE JAMANI MAANA NAM MIMI IMENIKUTA HII KITU NIMEKATWA PESA NDEFU TU PASINA TAARIFA YEYOTE KUNA NINI HAZINA AU UTUMISHI
 
TATIZO
HASA NINI MWEZI HUU EBU TUJUZANE JAMANI MAANA NAM MIMI IMENIKUTA HII KITU NIMEKATWA PESA NDEFU TU PASINA TAARIFA YEYOTE KUNA NINI HAZINA AU UTUMISHI
ALIEKULIPIA CHUO KIKUU KAANZA KURUDISHA CHAKE WADOGOZENU NAWAO WASOME AKA WAKALIPIWE...KUWENI WAPOLE TU
 
Back
Top Bottom