Elections 2010 Nimekatishwa tamaa sana na Kagera

.....wameweza kununuliwa kwa kanga,tisheti na vilemba vya ccm vilivyomwagwa kama njugu siku mbili kabla ya uchaguzi.Aidha matokeo ya hapa yalijulikana mapema miezi miwili nyuma au mitatu pale ambapo wana kagera walipouza shahada zao kwa bei ya kilo moja ya nyama(steki).

Uhh! Ni aibu na fedhea yetu sote na watu wetu. Tunarejea vipi kwenye mkondo sahihi wa maendeleo na siasa za kitaifa?
 
Kazi ya MB si kutoa misaada atakapo kwa pesa zake au rasilimali zake bali ni kuwashirikisha wananchi wajiletee maendeleo, kuwawakilisha ktk utunzi na urekebishaji wa sheria na kuhakikisha kodi wanazotoa wananchi zinawarudia kwa huduma bora za jamii ikiwemo miundombinu.

The Following 1 User Say Thank You to Omutwale For This Useful Post:

Muadilifu (Today)
 
:smile-big::A S angry:bukoba ni strongpoint ya CUF na si Chadema,hivyo uongozi wa chadema inabidi uweke nguvu za ziada bukoba/kagera

Hii sio kweli: matokeo haya hapa:

Urais

Bukoba Mjini

Bw. Mziray 117
Dkt. Kikwete 15,410
Dkt. Slaa 16,604
Profesa Lipumba 449
Bw. Rungwe 14
Bw. Mgahywa 14
Bw.Dovutwa 9

Ubunge:

Jimbo la Bukoba mjini



Balozi Hamis Kagasheki (CCM) kura 18,495,

Bw. Wilfred Lwakatare CHADEMA kura 13,800

Bw. Christian Kasimbazi (CUF) kura 294



Jimbo la Bukoba vijijini



Bw. Jasson Rweikiza (CCM) kura 57,852

Bw. Twaha Taslima (CUF) kura 4,565,
Bw. Alistides Ndibalema (CHADEMA) kura 5,859,


Bila shaka inajionesha ni strong hold ya nani. Nawasilisha
 
sikujua kama watani zangu mnaweza kudanganyika namna hiyo wakati ninyi elimu ipo juu km kule kwa wenzetu wachaga, yani jk kuwadanganya ataleta MELI km mv bukoba mkaingia mkenge? daah kazi ipo, mlipo mjini muwe muanaenda huko mara kwa mara muwamshe hao wasomi waliopo katikati ya migomba na umaskini hadi leo,pia waelewe sio kuchagua chama km wanaridhika na waliowachagua poa, ila km ni ahadi ya meli poleni kina kokushubira
 
Matokeo ya uchaguzi yaliyowapa ushindi Wabunge wa ccm mkoani Kagera na hasa kagasheki yamenihuzunisha sana ikizingatiwa huko ndo nyumbani. Wale wa kwetu, kuendelea na ccm bila wapinzani si ni sawa na kukataa maendeleo? Tujipangeje 2015?


Poleni Sana..:sad::caked::A S cry::A S-cry::frusty::blabla:
 
Ndg una hakika na unalosema, kama ni hivyo basi kunahitajika elimu ya ziada ya uraia. Watu waweze kujua haki zao na umuhimu wa haki ya kupiga kura. Maana sehemu zingine kama Arusha somo limeeleweka. Tusikate tamaa maana huo ni mwanzo wa True democracy. Watu wabadilike hasa kina mshomile wawaelimishe ndugu zao.
MBARIKIWE.
 
Back
Top Bottom