Nimekamatika Jamani

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.

Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!

Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila shaaa tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.

Any advise wakubwa.....

NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!
 
Ama kweli shemeji umekamatika maana hizo sifa ulivyozimwaga sijawahi kukusikia toka umezaliwa

Haya watoto huwa ni wa baba so ni makubaliano yenu tu kama wafuate ndini yako au lah. Mimi sioni kama ni tatizo.
 
Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.

Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!

Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila sha tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.

Any advise wakubwa.....

NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!

Transalation to ENGLISH

BREATHLESS SHANE WARD LYRICS

phone.gif
Send "Shane ward" Ringtone to your Cell
phone2.gif

If our love was a fairytale
I would charge in and rescue you
On a yacht baby we would sail
To an island where we’d say I do

And if we had babies they would look like you
It’d be so beautiful if that came true
You don’t even know how very special you are

Chorus

You leave me breathless
You’re everything good in my life
You leave me breathless
I still can’t believe that you’re mine
You just walked out of one of my dreams
So beautiful you’re leaving me
Breathless

And if our love was a story book
We would meet on the very first page
The last chapter would be about
How I’m thankful for the life we’ve made

And if we had babies they would have your eyes
I would fall deeper watching you give life
You don’t even know how very special you are

Chorus

You must have been sent from heaven to earth to change me
You’re like an angel
The thing that I feel is stronger than love believe me
You’re something special
I only hope that I’ll one day deserve what you’ve given me
But all I can do is try
Every day of my life

Chorus
 
Hahahahah thanks God its Friday! I love flowers from Zanzibar
 
Tatizo mmeanza kufanya zinaa, sasa hizo dini unazozizungumzia zinasaidia nini hapa?
 
Ama kweli shemeji umekamatika maana hizo sifa ulivyozimwaga sijawahi kukusikia toka umezaliwa. Haya watoto huwa ni wa baba so ni makubaliano yenu tu kama wafuate ndini yako au lah. Mimi sioni kama ni tatizo.

Nimekusoma MJ1 kumbuka mimi ni wale tulikimbia seminar sasa yakija masuala ya vifo na mambo ya kijamii nitasimama wapi....ukweli Mzanzibar anasifa zote za kike....heshima 200%
 
Hahahahah thanks God its Friday! I love flowers from Zanzibar

Hongera sana hakuna kitu kinachompa mwanadamu furaha kama mapenzi duniani hata ukiwa trilionea kama huna nguvu za chakula cha usiku bado utajihisi useless, hilo swala la dini si hoja as long as u love each other, na mmekubaliana. Na inadindi muwe na msimamo kwa vile wazazi wanaweza kuchafua hali ya hewa.

Nipe thanks nimekutumia mashairi mazuri sana ya nyimbo ya kusikiliza na shemeji yetu huyo.
 
Hilo tumelijadili kwa kina na tumekubaliana wale wachafuzi wa hali ya hewa hawana nafasi vinginevyo tutahamia COMORO
 
Masa mapenzi yana nguvu kuliko volcano, najua unavyojihisi hivi sasa...nakumbuka nilivyokuwa chuo nilipenda nikaenda nyumbani nikawaambia naoa wakaniambia navuta bangi....nilikuwa 22 yrs o'clock
 
Katika pilika pilika zangu za kimapenzi nimejikuta nimenaswa na penzi la mtoto wa Kizanzibar. Ni msomi anafanya shahada ya pili kwenye mambo ya Finance, nina maana ameenda shule! Anatoka familia yenye maadili. Ni mrembo. Mapenzi ni mwake, hakuna nilichokosa mara zote nilizokutana naye mechi zimekuwa zikiisha kwa suluhu na hakuna anayehitaji penalti wala msaada wa refarii.

Kuna tatizo moja, yeye ni muislam na mimi ni mkristo...tumejadili hili...anadai yeye haina shida. Kiti moto atakuwa ananipikia na hata kuoka. Nilimweleza siwezi kuacha pombe, yeye hajawahi kunywa ila akiwa na mimi namlazimisha walau sparkling wine robo glass, maana macho yake yanaita, chuchu embe tango, tiGo imo ya kutosha kwa kweli ni mrembo. Ukiweka na kiswahili chake cha Kizanzibar Masa nazimia. Nimemuonya asije JF kuna wakorofi.....!

Mabibi na mabwana hii imekaaje? hasa kwenye suala la dini...nisingependa abadili wala mimi nibadili. Sasa tukipata mtoto (Morgan Tsvangirai)
Malezi yake yatakuwaje? Huyu Mzanzibar tunaendana sana na hili la mahusiano yetu bila sha tutazidisha dumisha muungano, ule ufa tutauziba.

Any advise wakubwa.....

NB: Kibunango kuanzia leo mimi shemejio!
Mbona unakuwa muoga Masa hutaki nasi tumthaminishe,maana ulivyompamba. Mruhusu japo siku moja atie maguu hapa JF tutakusaidia kuwadhibiti wale wakorofi tafadhali sana!
 
Masa mapenzi yana nguvu kuliko volcano, najua unavyojihisi hivi sasa...nakumbuka nilivyokuwa chuo nilipenda nikaenda nyumbani nikawaambia naoa wakaniambia navuta bangi....nilikuwa 22 yrs o'clock

Kamanda 22 years ningekuwa kaka yako lazima ungepata makonzi....hahahahah ni kweli kabisa!
 
Ndio maana nimekwambia mapenzi yana nguvu acha mchezo....ukizingatia first love unaweza kuwa kichaa. Naomba nishikiriki kwenye sherehe za makabadhiano ya utamu/ndoa
 
Lazima JF timu ya wapwa ndo washerehekeshaji!
 
Najaribu kuvuta taswira huyo shori ananijia akilini mwangu hebu endelea....
 
Shemejio huyo! Juzi alikuja amejipaka ina miguuni na kiunoni kawaka chata ya Masa.......ana manukato sijui kama jini mahaba kama yapo! Full music na kujiexpress mpwa nimerudia kambi rasmi
 
Back
Top Bottom