Nimejitolea kumshikisha adabu Nape Nnauye wanajamvi mniunge mkono

mwingine mimi hapa. you small boy what you gonna do? you just wasteing you time , Nape is more thn you think. who are you by the way?idiot
Aibu kweli, mwanaume anajisifia jamvini kuwa anatumwa na Nape... Kumbe ndo maana wanaume wanaliwa cku izi
 
Haina haja ya kuwataja,
hii post ni mtego tosha wa kuwanasa.
Hapa ni kama umerusha jiwe gizani, ukisikia mtu anaugulia jua ndo huyohuyo,
BAN inamuhusu vilivyo
 
Habari zenu wana jamvi nimekua nikimfatilia kwa makini sana huyu kijana Nape na amekua akilopoka sana sasa mimi nimeamua kushindana nae kwa hoja ila kwakua sikuzote napenda kua mtu makini kwakila nilifanyalo ningependa vita hii ianzie hapa.kwakua huyu jamaa ametuma watu wake wengi sana katika ili jamvi kiasi kwamba wamekua wakituaribia mada zetu sasa kwakuanza nakuomba wewe mwana jamvi uandike jina moja ama zaidi la mtu unayedhani ni mmoja ya mamluki wa huyu jamaa umu jamvini kisha tukisha wajua hawa mamluki nitaelekeza atua inayofuata na tukiungana katika hili naamini kabisa watakimbia wenyewe na hii tutawatoa mpaka wale aliowatuma ata kwenye facebook.KUMBUKA UNACHOTAKIWA NI KUANDIKA JINA TU LA MTU UNAE MWONA UCHANGIAJI WAKE WA MADA AMA MADA ZAKE ZIMEKAA KINAPENAPE.Nia ya kuwashinda tunayo,Uwezo wakuwashinda tunao,na Nguvu ya kuwashinda tunayo.

Uliishia darasa la ngapi wewe ?
 
utadhani umeibiwa bwana. Kila siku Nape, Nape, Nape huchoki tu ?
Umesema utadeal na Nape ktk hoja, kutajwa kwa majina ya watu ndio hoja ? Kiazi wewe, endelea kutimikia kazi ya bwana wako.
 
Skendo
habari zenu wana jamvi nimekua nikimfatilia kwa makini sana huyu kijana nape na amekua akilopoka sana sasa mimi nimeamua kushindana nae kwa hoja ila kwakua sikuzote napenda kua mtu makini kwakila nilifanyalo ningependa vita hii ianzie hapa.kwakua huyu jamaa ametuma watu wake wengi sana katika ili jamvi kiasi kwamba wamekua wakituaribia mada zetu sasa kwakuanza nakuomba wewe mwana jamvi uandike jina moja ama zaidi la mtu unayedhani ni mmoja ya mamluki wa huyu jamaa umu jamvini kisha tukisha wajua hawa mamluki nitaelekeza atua inayofuata na tukiungana katika hili naamini kabisa watakimbia wenyewe na hii tutawatoa mpaka wale aliowatuma ata kwenye facebook.kumbuka unachotakiwa ni kuandika jina tu la mtu unae mwona uchangiaji wake wa mada ama mada zake zimekaa kinapenape.nia ya kuwashinda tunayo,uwezo wakuwashinda tunao,na nguvu ya kuwashinda tunayo.
 
ipo haja ya kupambana, wanapatikana, ila waache wajikanyage kanyage tupate changamoto, kwani msomi hababaishwi na mbumbumbu, ikitokea ni msomi kachwela
 
Back
Top Bottom