Nimejisikia kuwaandikia waraka huu ...

ingekuwa ni kule kwenye ule ukumb uliojaa wez kuliko watetez ningesema naunga hoja mkono kwa asilimia mia. Kaka/dada umetoa mzgo ambao mwenye kilo chache anaweza shndwa kubeba. Big up mkuu
 
mi ni mtalikiwa bana!

Kweli kaka,

Watu wanaoishi wenye shida na wale wanoishi kwenye mazingira zaidi wanahitaji huruma zaidi kipindi hiki icha siku kuu!!

Naamini akina Kapipi, Koku na Kongosho watatoa ushirikiano!!
 
hahahahaaa Babu DC wala usikonde,saa hizi mimi nabembea tu,niko sehemu moja inaitwa pataya huku thailand,huyu ananipepea miguu,huyu kichwa,huyu ananinyoosha mgongo,ili mradi tu nahangaikiwa,we acha tu!
 
usijali babu dc
nimeshajichagulia asiyejiweza mmoja
namla kwa uma na kisu kiulanini
na kongoro zake ntazinywa thupu

Kweli kaka,

Watu wanaoishi wenye shida na wale wanoishi kwenye mazingira zaidi wanahitaji huruma zaidi kipindi hiki icha siku kuu!!

Naamini akina Kapipi, Koku na Kongosho watatoa ushirikiano!!
 
Unakumbuka pia uliniomba nikuweke kwenye waiting list kama kidumu changu.........khaaaaa mwaka huu kazi nitakuwa nayo japo unaisha

Jaribu bahati yako,

Kwani hujawahi kusikia kuwa sisimizi anaweza kumuua tembo...Unaweza kuubeba mzigo jumla!!
 
ile timu yako ya mpira wa miguu, reserve, kocha, washika vibendera refa unamwachia nani?

Si ulijidai unaujaza ulimwengu!
Jaribu bahati yako,

Kwani hujawahi kusikia kuwa sisimizi anaweza kumuua tembo...Unaweza kuubeba mzigo jumla!!
 
kwani mwanamme hachaguliwi?
When am sure nataka nini
I go for it
sisubiri, si unajua ngoja ngoja yaumiza matumbo

Enzi zetu hiyo ilikuwa ni muujiza tu unaoweza kufanya kitu kama hicho kitokee,
Zaidi ya kutafuna tafuna kucha zote na kuandika andika kwenye udongo kwa kuchora maumbo ambayo hayopo duniani, sikuwahi kusikia kitu kama mwanamke kuchagua mume!!

Ila kwenu nyie vijana wa dot com...hayo sitayashangaa.....Ila pia ndo maana sishangai report za wajukuu kibao wanaolizwa baada ya kuuza hazina yao kabla hata ya kujua bei watakayolipwa!!
 
Jamani babu mie kizazi cha zamani
ila nilipoiona black diamond, nilishindwa kabisa jizuia
hivi vitu havipatikani kila siku
ni mmoja in a trilion

bora tu unipe baraka zako
nimepanga kumpa hazina siku ya mkesha wa mwaka mpya.

Back
Top Bottom