Nimejisikia kuwaandikia waraka huu ...

Bishanga, kwa nini usiwe na wako ukawa na hati milki? Kwa nini uendekeze maisha ya kula raha kwa woga? excitement gani unayoipata ukila raha kwa woga? Huogopi mambo mabaya ukikamatwa?
Mkuu ya woga tamu sana!
 
Yuko bize na maandalizi ya ndoa yake, kanituma mimi kondoo mtiifu nije kuongoza maombi!!

Wewe Kipipi tangu lini ukawa kondoo mtiifu? Kukukabidhi wewe kuongoza maombi ni sawa na kumkabidhi fisi alinde mifupa, sikubali asilani!
 
Aiseee, watu hawa sijui niwaandikie waraka wa aina gani! hata saa moja haijapita baada ya kuwaandikia barua hii wamesahau na kuanza kupanga inf .... Jamani, sijui wana mioyo ya aina gani!
Labda tumshirikishe Mama Mchungaji wa JF awafanyie maombi maalum!

hasa Kipipi ndo anaongoza kwa kupanga infii,nasikia x mass ana mpango wa kwenda mombasa na mme wa mtu,lol!
 
Umemkubali kaka yako??

Au unataka kumpa msaada ili apunguze usumbufu??/

Babu DC!!

Najaribu kufikiri ni msaada gani nimpe. MAANA. Pia nawaza anakula protein za aina gani kuweza kuhudumia majority women ile inshu?
Babu ushaur na saha unahtajika.
 
Najaribu kufikiri ni msaada gani nimpe. MAANA. Pia nawaza anakula protein za aina gani kuweza kuhudumia majority women ile inshu?
Babu ushaur na saha unahtajika.
wala sio hivyo Koku,wazee kama sisi wala hatutumiki kihivyo,all we do kila jumamosi ni kufanya kaziara ka kupita kwenye makoloni kwa minajili ya kuacha pesa ya kikapu.Hayo mengine ni mara moja moja tu,tunaona raha tu kuwa na ka harlem,ndo uanaume huo.
omushaija lubingo otigala nilumela!
 
Kumbeee!!!
Basi kaka kwa raha zako. Ila kazi unayo. Taratibu taratibu na uzee huo

/
 
HP ahsante sana kwa ujumbe mzuri uliotupatia.
Hekima hii uitumie hata ktk familia yako.
MARRY XMAS and HAPPY N. YEAR
 
Back
Top Bottom