Nimejiridhisha, wanawake wanapenda mwanaume wa namna hii

Nani kakudanganya hivyo!!
Vitu ambavyo unatakiwa kumpa ke ili akupende ni
1 Mpe hela
2 Toa hela
3 we toa hela
4 mpe hela!!!
 
Hakika nikimpata mwanaume wa vigezo hivyo hapo jamiiforum hawataniona tena ,,nasema hata jutia kunifaham,,,Ee Mungu niaptie yule wa ubavu wangu ninayekuomba kila siku...hakika siku nikimpata JF KWAHERIIIIIIII
Kama JF ni kwazo au anasa kwako inayokuzuia baraka ya kumpataMume mwema, si ni bora uondoke sasa ili ukampate?
 
#7 ni the best kwangu
Sipendi mwanaume anayeropoka ropoka asee
Kwanza mwanaume muongeaji sana pia ni tatizo kwangu
Si tu mwanaume... hata mwanamke ambaye kidomo juu... yaan asubuhi.. mchana.. jion ni kuongea tu.. huwa anasababisha amani ikosekane katika mahusiano
 
Kaka mapenz hayana formula..
Just be real be you.. jitahid tu kujua mwenzio anapenda nini... na hapendi nini. Kuwa karibu yake... wakat wa huzuni.. kuwa mwalimu pale anapokosea.
(LAKIN ITATEGEMEA NA AINA YA MWANAMKE... MWINGINE UTAFANYA HAYA YOTE LAKIN ATAKUDHARAU. )
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tooo much mwanamke anataka hiki mara kile what for baab deal na mambo mengine hawa wala huwa haijulikani nini hasa huwapa amani ukijarib kuumiza kichwa utakuta wakosea just be fair
 
Back
Top Bottom