Nimejikuta tu...............

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Nilikuwa nawasikia mashoga zangu wakisimulia habari za humu jf, na mie nimejikuta tu nikitamani kujiunga hasa baada ya kusoma hoja mbalimbali ambazo kwa kweli zimenielimisha kukua kifikra............. pamoja daima
 
Dedication: pole zinduna nakupa pole zinduna weeh... Sijui aliimba nani,ngoja kuna mtaalamu atakuwekea soon. Karibu sana
 
Cantalisa, mwenzangu hili neno lako, limenichekesha kweli, eti, "Dagaa hata achemshwe vipi hafumbi macho"
Kumbe weye wawapika na vichwa vyao!? mie mwenzenu huwa navikata,,,,,,,,,,,,,,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom