Nimejaribu kukaanga Chips sijafanikiwa sana, msaada jamani

Hahahahahahah lol! hatimaye nawe umeamua kuwa model kwa kutengeneza mduara wa chapati, hongera sana. Huge improvement ila zilikuwa tamu sana pamoja na kutokuwa na mduara.:p:p:p

BAK siku hizi nmekua mtaalamu wa chapati ha ha ha acha kabisa
 
Hongera sana. Chips hujui pika? Njoo unifundishe
Kwanza nunua cha kukatia chips, zinakua na shape nzuri
IMG_20160801_202144.jpg
IMG_20160801_202528.jpg
 
Hahahahahahah lol! hatimaye nawe umeamua kuwa model kwa kutengeneza mduara wa chapati, hongera sana. Huge improvement ila zilikuwa tamu sana pamoja na kutokuwa na mduara.:p:p:p
Ha ha ha ha ha za siku hizi zina duara
IMG_20160820_195131.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Heshima kweny wakuu,

Nimejitahidi kukaanga chips zikaungua kidogo. Sijajua nimekosea wapi, nlitaka nitoe Chips zilizokauka laini na tamu kama zile za pale kwa mdebwedo.

Naomba msaada;

Ni hatua gani zinapaswa kufuatwa ili itoke chips amizing? Naomba utaratibu wa kufuata ili wkend ijayo niitengeneze vizuri. Halafu wkend hii nina mgeni.

Msaada wakuu.
View attachment 389813
Hii nliyotengeneza imeungua kidogo.
Hizo hazijaungua kidogo...

Zimeungua kabisa
 
Tafuta jukwaa la mapishi kama halipo pole saana... Kama vip nenda YouTube au Google maana humu ndani watu wenye busara wanahesabikaa....
 
Jaribu kufuata hatua hizi...

Hatua ya kwanza ni kuosha viazi na kuvikata kata kama ulivyofanya..cha muhimu viwe na ukubwa unaolingana lasivyo utajikuta vingine vimeiva na vingine bado..Na kuna mdau hapo juu kakushauri kununua kimashine??cha kukatia.

Hatua ya pili chemsha mafuta yako yawe ya moto sana kama 160c (temp.) Baada yapo weka viazi vyako hakikasha mafuta yamefunka hivyo viazi..kaanga kama dk 5 mpk 8.

Hatua ya tatu viondoe viazi/chips zako katika mafuta, acha mafuta yachemke tena kama mwanzo yaani 160c (kumbuka ulipoweka viazi katika mafuta yako moto ulipungua kwani viazi vina maji mengi) baada ya hapo weka viazi vyako tena ndani ya mafuta na pika km dk 5 mpk 10 au mpaka viwe rangi ya kahawia (brew) .

MB. Chips ngumu ni kupunguza moto wakati wa kupika, ingawaje chips za kujitengenezea ni vigumu kuwa mgumu..Za madukani zina process kidogo ( siifahamu vile) nafikiri uwa wanaziweka kwenye mafuta kidogo za kuzifreeze hapo hapo.. (sina uhakika.)
 
Hili hapa ndo nukwaa la mapishi. Inaonekana hata wewe ni kama mimi tu katika mapishi, mbona hunielekezi?
 
Jaribu kufuata hatua hizi...

Hatua ya kwanza ni kuosha viazi na kuvikata kata kama ulivyofanya..cha muhimu viwe na ukubwa unaolingana lasivyo utajikuta vingine vimeiva na vingine bado..Na kuna mdau hapo juu kakushauri kununua kimashine??cha kukatia.

Hatua ya pili chemsha mafuta yako yawe ya moto sana kama 160c (temp.) Baada yapo weka viazi vyako hakikasha mafuta yamefunka hivyo viazi..kaanga kama dk 5 mpk 8.

Hatua ya tatu viondoe viazi/chips zako katika mafuta, acha mafuta yachemke tena kama mwanzo yaani 160c (kumbuka ulipoweka viazi katika mafuta yako moto ulipungua kwani viazi vina maji mengi) baada ya hapo weka viazi vyako tena ndani ya mafuta na pika km dk 5 mpk 10 au mpaka viwe rangi ya kahawia (brew) .

MB. Chips ngumu ni kupunguza moto wakati wa kupika, ingawaje chips za kujitengenezea ni vigumu kuwa mgumu..Za madukani zina process kidogo ( siifahamu vile) nafikiri uwa wanaziweka kwenye mafuta kidogo za kuzifreeze hapo hapo.. (sina uhakika.)
Asante sana Alinda. Unaonekana wewe ni mtaalam kweli kweli. Umenipa mwanga. Je umeolewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom