Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

Jamani hili jukwaa limekua na mchango mkubwa sana, khs kuitwa NSSF kwa ajili ya aptitude test, mlioitwa kama unanafac ya kwenda kuafanya hyo test muende, wanahitajka watu wengi c chini ya 80 kwa jumla ya post zote, msikatwishwe tamaa
 
na hawa wanaodai ni watu 7? Au wanataka waende wao peke yao?
 
Tindikalikali, this is psychological game, those who fear u in the fied of battle are ready to do anything necessary under their power to make sure that u won't appear in the field of battle, so that they can easily get the victory for ur absence.
Kwahyo usishangae jinsi wanavyokatisha wenzao tamaa.
 
jaman wadau na mimi nimepata hiyo sms lakin tatizo sikumbuki hata niliaply post gan tafadhali anayekumbuka post zilizotangazwa naomba anitajie afu kingne
 
jaman wadau na mimi nimepata hiyo sms lakin tatizo sikumbuki hata niliaply post gan tafadhali anayekumbuka post zilizotangazwa naomba anitajie afu kingne
binafsi nimepata hio sms yao muda huu,ila tatizo sikumbuki vyema niliapply kitu gani,
mwenye zile kazi walizotangaza naomba watusaidie kuzipost hapa
 
Walitangaza
Finance Officer
Chief Manager Security,
Operation Officers,

Wapendwa ayefanyiwa usajiri naomba ani PM namba yake nataka kumuuliza mawili matatu kabla sijafunga safari ya kuja huko niko mbali sana.
 
Jamani hili jukwaa limekua na mchango mkubwa sana, khs kuitwa NSSF kwa ajili ya aptitude test, mlioitwa kama unanafac ya kwenda kuafanya hyo test muende, wanahitajka watu wengi c chini ya 80 kwa jumla ya post zote, msikatwishwe tamaa

Let me ask a sincere apology for misleading invited interviewees. This is an unintentional act. I just referred the number as received from someone I believed to be my reliable source. Please, forgive me.
 
Tindikalikali, this is psychological game, those who fear u in the fied of battle are ready to do anything necessary under their power to make sure that u won't appear in the field of battle, so that they can easily get the victory for ur absence.
Kwahyo usishangae jinsi wanavyokatisha wenzao tamaa.

See my apology statement above. Again, forgive me wholeheartedly.
 
Na mimi nimetumiwa sms jana kwenye saa 6 kasoro usiku!!
But mimi nimeambiwa nikafanye usajili kwanza pale NSSF WATERFRONT HOUSE kuanzia leo hadi tarehe 30!!
In addition kuna jamaa yangu naye katumiwa message kama ya kwangu!!

Naomba kujuzwa ilipo NSSF WATERFRONT HOUSE
 
Hapa cha msingi ni je kuna mtu amepata sms wakati hakuwahi kutuma application? Kama jibu ni ndiyo basi ni utapeli.
 
even me nimetumiwa that sms na nilikuw nimesahau hata post niliyoomba ila nimeshakumbushwa na mdau ameorodhesha post niliomba operation officer nibora kwenda kuliko kupuuzia huwez jua ya Mungu meng
 
hapa kila mtu anaongea anayojua
wengine unapoteza mda, wengine teyari watu wako kazini, wengine bora kujiajiri!!
let me tell you guys, hapa naamini kunawatu wana GPA nzuri! ila tu hawana watu wa kuwashika mkono, pia kuna watu wana dreams tofauti. you loose nothing unapoenda fanya iyo pepar, ulipo ingia shule ulikua tayari kupambana ili uweze kutimiza ndoto zako, what if ili pepar ndo kikwazo cha mwisho? think big and wsh u all the best guys ...!!
 
Naomba kujuzwa ilipo NSSF WATERFRONT HOUSE

ipo maeneo ya station ya reli maeneo ya post mbele ya kituo cha trafiki bara bara ya magar yanayoenda mbagara posta ukifikia railway station ofisi za nasacco zaman au jengo la office za wizara ya africa mashariki
 
Wewe kama umeitwa changanya kuminamoja zako uende.Habari za kuanza kutabiri sisi wana forum sio ma which doctor.
Mtegemee Mungu Baba na utafanikiwa.Hata hao kina John,Petter,Joseph,Anna,Agnes pia waende.Wasiwasi kwa binaadamu mwenzio hauna maana unaenda kwa kumtegemea boc mkuu ambaye ni Mungu Baba.
 
usumbufu wote uo ni kalaki ka 6 au ka 8, hapo hakajakatwa! aise machizi 2we wabunifu maana ajira cio ishu kbsa!

Acha dharau wewe mshamba, kama ni ka laki 6 na 8 ww unacho...???? wewe ndio wale wanaokataa kustaafu na kupisha watu wengine...acha watu wakajaribu bahati zao...wewe ni ***** na nna wasiwasi na elimu yako au hapo ulipo unafanya kazi ulitoa t...ko ama vipi..????
 
Back
Top Bottom