Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

Wadau leo nimeitwa kwenye interview na NSSF. Namshukuru Mungu kwa hatua hiyo.
lakini Hofu zangu ni zifuatazo,
Kwanini watumie sms? wapo serious kweli?
Interview inafanyika IFM!! obvious ni watu wengi sana wameitwa, je ni kama ile ya UDOM na NHIF?
sms yenyewe inasomeka hivi,

We refer to your application for employment with NSSF. We would like to invite you for an aptitude test to be conducted at the Institute of Finance Management(IFM) campus Shaaban Robert street in Dar es Salaam on Saturday, 31st December, 2011 at 12:00PM.....
(nimeifupisha kuokoa muda)

Je kuna yeyote humu na yeye ametumiwa sms hiyo?

Kaka kutumiwa Text Message kwenye simu isikustue. Jiandae na interview ukawakilishe vyema. Kumbuka kwenye tangazo la kazi walisema weka e-mail na namba ya simu. Hicho tuu kinanifanya niamini ni genuine. Sasa uuliza kitu gani huwa wanauliza????? ili ujiandae kufanya interview na si kuhudhulia interview. Interview njema mzee. GOOD LUCK

Wadau hizo taarifa ni za kweli, mm pia nimeipata msg uck huu japokua inanielekeza kwenda kujisajili kwanza pale waterfront kati ya tar 27 -30 december kwa ajili ya hyo aptitude test tar 31
 
japokua inanielekeza kwenda kujisajili kwanza pale waterfront kati ya tar 27 -30 december kwa ajili ya hyo aptitude test tar 31
kajisajil upewe namba ya mtihan,maswali mia yote ya kuchagua yamegawanyika comunication skill,
math za standard 5 hadi form two na maswali mengi yanakuwa ya kitengo ulichoomba.japo wameshaajiri we nenda upate uzoefu na kujuana na watu na kumeet na maraf wa chuo.mtakuwa weng kudadki
 
Kaka mbn kila sehemu tunaambiwa watu wameshaajir, kwan hizi ajira zikoje
 
sioni tatizo lolote

Tatizo lipo, kwa watu walio seriuos hawawezi kutuma sms kwa jambo kubwa kama hilo, ilitakiwa wapige simu na kuandika majina ya wale wale wote ambao walijibu simu hizo na kuthibitisha kuwa watafika katika interview, sms siyo reliable means katika hili, najua utasema gharama, ndiyo, ujue fungu kubwa sana linatengwa kwa shughuli kama hii, na pasipo ufisadi kila kitu kinawezekana.
 
Wadau nashukuru sana kwa michango yenu. Imenijenga sana, sikutarajia.
Ndio moja ya faida ya kuwa member wa JF, I'm feeling so proudy.
 
kajisajil upewe namba ya mtihan,maswali mia yote ya kuchagua yamegawanyika comunication skill,
math za standard 5 hadi form two na maswali mengi yanakuwa ya kitengo ulichoomba.japo wameshaajiri we nenda upate uzoefu na kujuana na watu na kumeet na maraf wa chuo.mtakuwa weng kudadki
bora cjapata hyo text yaliyonikuta nhif yanatosha
 
Ebn hata mie nimeitwa kwny hiyo A.test ila kuna missing txt,nilitumiwa hy txt jana,nikajaribu kuipiga ile simu ilikua buzy
 
"We refer to your application for employment with NSSF. We would like to invite you for aptitude test to be conducted at Institute of Finance Management(IFM) campus Shabaan Robert Street in Dar Es Salaamon Saturday 31st, December, 2011 at 12:00pm.
Please registe yourself at NSSF Water Front House between Tuesday 27th and Friday 30th December,2011 from 9:eek:o a.m. to 4:00pm.
Please observe punctuality". from mob# 0767140026

Wakuu mlioko Dsm naomba mnijulishe kama inawezekana mlioko huko kunisaidia ku register maana mi niko Arusha na sidhani kama nitaweza kuwahi huo mda wa 4pm tarehe 30th, December. Natarajia kuja Dar siku hiyo ya tarehe 30th.
 
Kama uko serious kwanini usisafiri tarehe 29/12? Sio rahisi kwa mtu mwingine kukufanyia registration maana wakati mwingine huwa wanapiga picha ambazo baadaye hubandikwa juu ya mtihani uliofanya. Kumbuka kuwa kwenye sms hii hawakusema uje na picha (PPS) hivyo ni wazi kuwa watakupiga wenyewe siku ya registration. Ni mtazamo wangu tu
 
Na mimi nimetumiwa huo ujumbe . Naomba mtu mwenye zile job description za finance officer na accountant .
 
Hata mimi nimeipata hyo wandugu, refer to your application for employment with NSSF. Register yourself for aptitude test at nssf waterfront house from 27 - 30th december,2011,9.00am to 4.00pm
 
rafiki yangu katumiwa pia. ila hawa jamaa huwa hawana short list, hapo mmeitwa wote ambao mliomba
 
Hata mimi nitumiwa tena kwenye CV nimeweka namba 2 za simu wametuma kote! Wako serious twende tukajaribu bahati wakuu na hata kama wana watu wao tunapata uzoefu.
 
jamani mi msg nilotumiwa imeandikwa register yourself for aptitude test at nssf water front frm 27-30 dec, mi sijaelewa inabidi nikajiandikishe au ni vp........
 
Back
Top Bottom