Nimeitupa engagement ring dampo

eeeh hii kali kwakweli amekimbia hata majibu hatoi,msaidieni jamani ana hasira mpeni moyo
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

Wewe ni "ke" au "me". Unasema umetupa pete dampo kwani dampo ndiyo lililokupa hiyo pete? kwa nini usingemtupia aliyekupa ili apate ujumbe kuwa "it's over"? Unajua kitakachotokea - anaweza asiamini kuwa umeitupa dampo.
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

Hujafanya la busara. Ni kheri tu ungeivua na kuiweka kabatini.
 
Ingejimet ring mmoja alikuja hapa akadai amejisikia wa thamani kwa kuvalishwa hiyo ingejimet na kujiona wa kipekee,sijui kabla alikua anajionaje!Haya tuone na yako!Pole lakini ndo tulivyo binadamu!
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
safi sana ngoja niku-PM...ila inaonekana wewe hata kujinyonga hakukombali....
 
I do understand you very well!!

Kwa kuitupa hiyo ring ndio kumbukumbu zake zinaisha vizuri, yale machungu ya kutupa ring ya Thamani, yanakuongezea nguvu ya kukataa, na kumsahau kabisa.
 
I do understand you very well!!

Kwa kuitupa hiyo ring ndio kumbukumbu zake zinaisha vizuri, yale machungu ya kutupa ring ya Thamani, yanakuongezea nguvu ya kukataa, na kumsahau kabisa.
una mpongeza ili baadae uanze ndogondogo...hahahahahaha
 
nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
nakuunga mkono siamini ktk pete naamini kwa kitu toka moyoni siyo kipande cha bati kama anakuyayusha aeleweki achana naye anza upya mlango mmoja ukifugwa behold seven dorr are open so shake your dust and possition yourself kwa mchuma mpya
 
nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
mtu kama huyo hupaswi kumwita mpenzi wako huyo ni mwizi wa moyo wako msumbuvu barazuri vaislay you shall live long ,soon invite me to another kidate wewe unaonekana unaisimamo ya kimapinduzi
 
mtu kama huyo hupaswi kumwita mpenzi wako huyo ni mwizi wa moyo wako msumbuvu barazuri vaislay you shall live long ,soon invite me to another kidate wewe unaonekana unaisimamo ya kimapinduzi[/QUOTE]

akhaaaa!!
 
Jamani, pole sana - mimi napenda kukuambia kwamba i ikiwa ni MPANGO WA MUNGU ALIYEKUPA PETE AWE MWENZA WA MAISHA ........basi itakuwa hivyo - PETE SIO NDOA - NDOA INATOKA KWA MUNGU - HUO NI MCHAKATO TU WA KUVALISHANA PETE ETC. LAKINI KAMA IBILISI AMEINGILIA MAPENZI YENU...............MUNGU ATAREKEBISHA KILA KITU - KAMA MNAPENDANA KWA DHATI .............MTAELEWANA TENA-

METHALI INASEMA:"WAGOMBANAO NDIO WAPENDANAO" NAAMINI KWA VILE ANAKUPENDA SANA .... ATAKUOMBA MSAMAHA NA KUKUPA PETE INGINE ...............HIYO IACHE IOZEE DAMPO ..... ZIKO NYINGI KWA MASONARA

POLE SANA NA JIPE MOYO MKUU ..... ACHA HASIRA ..........KWANI HASIRA HASARA.

Kumbuka wanawake mpo wengi mno na ligi yenu ni kubwa pambana utakecontrol
<br />
<br />
wanawake sio wengi kama data zinavyosema na hii ndio inafanya wanaume kujiona wanathamani but angalia age group ya 45 and above utaona wanawake wengi ni wajane lakini si kwamba hawakuwa na waume ila walikufa. ukiwahesabu wanawake wote regardless their age utawaona ni wengi kwa kuwa wengi wanaishi maisha marefu. Mungu wetu si mjinga kuumba vitu unproportion but circumtances zinafanya wanaume kufa mapema
 
Pole sana kwa yaliyokukuta,
Pamoja na hayo hujafanya maamuzi ya busara usingeitupa dampo ungemrudishia mwenye nayo au ungemfata ukaivua mbele yake na kumtupia
 
Back
Top Bottom