Nimeita mmoja wamekuja wanne

Nilishawahi kusema humu ndani na nitarudia tena,dawa ya watu wa hivyo ni ndogo sana,wakaribishe unapoishi hata waje kumi poa tu kisha unawasongea ugali wa nguvu unawawekea mezani,mkimaliza kula ndio unafanya mtoko mkifika huko ni vinywaji tu hakuna gharama ya mlo na wakiulizia mlo nawe unawauliza kwani hamkushiba ule ugali?

PM hapo utakuwa umesolve only 50% ya tatizo kwani vinywaji navyo ni issue mkuu. Utaenda nao huko then watakuumiiza kwenye vinywaji, madent wana mambo ya ajabu sana sorry lakini kwa hili, watakunywa redbull hapo hata tano tano. Binafsi huwa sielewi mtu unakunywaje redbull tano? Alcohol nitaelewa kidogo kwa sababu ya nature ya content yake lakini redbull haiingii akilini mtu anawezaje kunywa masukari na machemicals kiasi hicho huku kama si kujali afya zetu ni nini?

Kuna watu wamemponda mtoa mada either hawajamuelewa au makusudi wameamua kutokuwa objective. Jamani mm Z nimekualika ww A, how come bila taarifa unakuja na B,C,D,E,F,G etc? Kama nilikuwa na nia ya kuanzisha a serious relationship na wewe tayari hili kwangu litakupunguzia alama frankly kwani hii inaonesha huko organized. Issue hapa si budget peke yake hata convenience pia, maana kwa hilo sasa walengwa mnaweza kushindwa hata kuongea yale mliyokusudia. Kwa opinion yangu nadhani ni busara nikikualika wewe njoo wewe hao wengine toka nao kwingine sio kwenye mwaliko wangu au kama ni wangu basi kwa taarifa in advance.
 
Mkuu something is better than nothing,ila ninavyoona mimi ni kuwa ukiwashibisha vizuri kabla ya mtoko hata huko muendako hawatakunywa sana,ila wakijifanya kujivunga ugali wangu hapo lazima nitafute sababu ya kuahirisha mtoko.
 
Tehe tehe teheeeeeeee hao wanaitwa watoto wa bata!
Fanya hivi kwanza mweleze kuwa hiyo tabia sio nzuri, maana anaharibu bajeti
Kama hakusikii Jipange kisawasawa wanyweee halafu wakishalewa weka kwa baiskeli yako ukifika nyumbani kwako wakaribishe kisha shika mkono wakwako mkamalizane! Kama una nguvu malizia na waliobaki! Ila fanya sasa na fasta uwahi kwa babu Loliondo! Kama huna nauli ya kutosha wahi pale Tabora ama Mbeya maana inawezekana ukapata na wageni mwilini.
 
we utakua bado unatongoza... anawaleta wenzie kuthaminisha

enzi zangu hapo unajitahidi kuchukua namba za hao wenzie, yani hilo bonge la opportunity sema ndio uzee tayari:ballchain:
 
Kuna hii tabia ya mabinti (hasa wa vyuo) unapomwita mmoja bar wanakuja watatu mpaka watano, halafu wakifika baada ya kuagiza vinywaji vya gharama (Redbull, Savanna, nk) hudai kwamba hawajala, wanaagiza chipsi kuku kila mmoja. Wanakula kiduchu halafu wanaacha eti wameshiba. Hii huwa inanikera sana, nani anaweza kuwa na dawa yake?

DAWA NI KUMWITA YULE MUSIKA KWNYE MEZA NYINGINE JIDAI KAMA UNA MAONGEZ NAE ALAF MNAAGIZA VYENU UKU UMEWEKA USO WA MBUZI.. Apo lazma watajilipia kwa muudum, ukicheka na nyan utavuna mabua
 
I did the same back then,tulimfanyia (mcheza mpira mmoja hivi wa yanga,jina kapuni).mi nilienda na wasichana wa class nzima(marafiki zangu na wasiokuwa marafiki zangu pia),nia ilikuwa ni ku mkomoa, mtu mzima ovyo kwenda kunitongoza msichana wa form three.
tulikula na kunywa,uzuri ilikuwa ni soda tu na chipsi maini. then akalipa,tukarudi shule,hajanitafuta tena.
demu akikufanyia hivyo ujue hakutaki
 
Mzuanda; I did the same back then,tulimfanyia (mcheza mpira mmoja hivi wa yanga,jina kapuni).mi nilienda na wasichana wa class nzima(marafiki zangu na wasiokuwa marafiki zangu pia),nia ilikuwa ni ku mkomoa, mtu mzima ovyo kwenda kunitongoza msichana wa form three.
tulikula na kunywa,uzuri ilikuwa ni soda tu na chipsi maini. then akalipa,tukarudi shule,hajanitafuta tena.demu akikufanyia hivyo ujue hakutaki

Ushamba tu na utoto utakuwa unakusumbua mtu wa hivyo!
 
uKIONA HIVO ANZA MAPEMAAA...MWAMBIE ULIYEMWITA...KWA NGUVU, HAKIKISHA WOTE WAMESIKIA...MWAMBIE..MFANO...gRACE, FEEL FREE AGIZA CHOCHOTE I WILL TAKE CARE OF YOUR BILLS. WENGINE WAAMBIE GUYS,... NICE TO MEET YOU..CAN WE HAVE PRIVACY WITH GRACE ALONE IF YOU DONT MIND??? NILIJIANDAA 4 ME AND HER ONLY..SORRY!!!!!
 
Sisi waafrika tulishajizoezesha ukitolewa out na boyfriend wako anakulipia kila kitu ww na rafiki au ndugu zako utakaokuwa nao, ulaya mambo ni tofauti kila m2 anajilipia mwenyewe. Hata cku ya arus usishangae mme na mke wake wakilipa kila m2 bili zao independently kwenye mlo wa jioni. Na waalikwa pia the same. Hivo bas inabidi tu kubadilisha hizi mindset zetu na kuichukua hii ya kila m2 kujilipia.

Pia wanakuja in company ili kukupima ww kama ni mme mwenye upendo au mchoyo, coz kama una upendo utawajali na utawalipia wote ila kama ni mchoyo na mbinafsi utakimbia bili na kujilipia mwenyewe. Cku ingine inabidi umwambie ukweli kwamba uko mtupu mfukoni ili asije na company.
 
inabidi uwe mjanja......

akija na wenzake we tongoza mmoja na uchukue namba ya simu huku anaona
atajifunza next time

mimi niliwahi kufanyiwa hivyo...
namsubiri mmoja nikaona wamekuja watano..
nikajifanya nimepata dharura
nikawaacha bar wameduwaa...
 
lbd hakuamini unamwita bar peke yake ili mkitoka hapo umpeleke gest? lbd ndio maana kaja na wenzie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom