Nimeishi nje, nataka kuoa Tz, nitapataje wife material???

Si aende kule kijijini kwetu machame atawakuta wife materialz wamejaa tele?
 
Hii kali umesema hataki wa kutafutiwa sasa unatafuta ushauri gani hapa?! Nashindwa kutoa ushauri maana huwezi kumwambia mtu nenda holiday inn kajizungushe zungushe pale utaona tu vibinti vinaingia! Huyo jamaa apende asipende lazma ww/washkaji wamu-hook up na mtu mtakaeona labda wanaendana ajaribu bahati yk,kama yy mwenyewe hawezi kumendea lol.
 
Yeye mwenyewe ni Husband Material? Akienda Mwanza atakutana na cotton material, Tanga naUfundi MATERIAL, Mbeya na Hiv & aids material, .........................ooops Sumbawanga na Wanga Material, Arusha na Lema material, Kigoma na wese material, Shinyanga na Red Eyes materials......the list goes on and on

umemaliza lol hahaha
 
Nenda kwenye makanisa ya walokole kule kuna wadada weengii wamekimbilia huko kuombewa kupata wachumba kuna walioahidiwa kupata wachumba so mcheki tu Nabii atakuunganisha na utakayempenda:lol:
 
Nenda kwenye makanisa ya walokole kule kuna wadada weengii wamekimbilia huko kuombewa kupata wachumba kuna walioahidiwa kupata wachumba so mcheki tu Nabii atakuunganisha na utakayempenda:lol:

sasa atamuweza aliyeokoka kaka yeye hajaokoka?vipi kama ni muislamu?
 
Amavubi umenivunja mbavu! Acheni utani jamani mwenzenu anamtafutia kaka mke.....kuna mshkaji ana tatizo kama hili kabisaa na age ni hiyo2 na yuko US sasa duuuh imenishtua kidogo isije ikawa yeye.
 
sasa atamuweza aliyeokoka kaka yeye hajaokoka?vipi kama ni muislamu?

Kuokoka waaapi ulidanganywa si king'aacho ni dhahabu dini si ishu kabisa mbona ndoa kibao za mseto watu wanapeta tuuu hakyanani nawaambia kule makanisa ya walokole ndo kwenyewe angalia idadi kubwa ya wanawake wanaoenda kule wengi ndo ishu hizo zinawapeleka wengine wametendwa na mabazazi so wamemkimbilia Mungu changamieni hiyo dili!!!
 
Nenda kwenye makanisa ya walokole kule kuna wadada weengii wamekimbilia huko kuombewa kupata wachumba kuna walioahidiwa kupata wachumba so mcheki tu Nabii atakuunganisha na utakayempenda:lol:

Hahahaaaaa uwiiiiiii mbavu zangu leo....hivi ni kweli haya mambo? Kuna siku nilikua naongea na Dr mmoja(mtu mzima) sasa ktk story kuna kitu tukawa tunabishana kuhusu bible nikamwambia nitoe tuangalie.....akaniambia heee mwenzetu unatafuta mchumba nn mbona unatembea na biblia! Yaani nilichekaaa sana,hv ni kweli mabinti wanakimbilia huko kwaajili ya kutafuta wachumba au ni msemo tu wa siku hizi??
 
Kuokoka waaapi ulidanganywa si king'aacho ni dhahabu dini si ishu kabisa mbona ndoa kibao za mseto watu wanapeta tuuu hakyanani nawaambia kule makanisa ya walokole ndo kwenyewe angalia idadi kubwa ya wanawake wanaoenda kule wengi ndo ishu hizo zinawapeleka wengine wametendwa na mabazazi so wamemkimbilia Mungu changamieni hiyo dili!!!

kweli wanishangaza..kama wewe una tabia ya unafiki unafikiri ni watu wote duniani wapo hivo?Kuna watu wanamaanisha wanachosema na kutenda.......so dont generalize...halafu kusema kuwa wanawake wanaoenda huko wametendwa na mabazazi nakubali....hata maandiko yanasema hivo(Math 11:28 ''Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha")....so...waache waende ni haki yao..
 
Nimekumbuka; wanawake wengi wa UN ni wife material maana wengi wanakuwa wameachika (MIJIMAMA).......akajaribu hao
 
mbona kashakuwa babu sasa! Mi wife material ila atanifataki. Lol.

aminia Husninyo..yaani we unafaa uolewa na mme mjanja kama mimi, coz your fast thinker and visionery woman...nilitaka nikutoe siku moja lakini inaoneka bado uko kwenye ulinzi mkubwa wa wazazi..
 
afu kuna wale wanaooa afu baada ya miaka kadhaa wanafiwa na wake zao. Wanawaleta Africa wakiwa wamewabebesha nani nanii dah!
 
aminia Husninyo..yaani we unafaa uolewa na mme mjanja kama mimi, coz your fast thinker and visionery woman...nilitaka nikutoe siku moja lakini inaoneka bado uko kwenye ulinzi mkubwa wa wazazi..

tobaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Hapo kwenye "Jogoo wake anapanda mtungi" wewe umejuaje ? Ama ushawahi kumpiga bodi (chabo) au ulihakikishiwa na aliokwisha wang'wenya ?
 
Ndoa hufungwa kwa dhana ya upendo, yeye akitafuta wife materail bila upendo ameumia, upendo wa dhati hubeba yote, hakika naamini mwanamke akiupenda atakujali, yaani atakuwa wife material kama unavyotaka. Hata hivyo kama yuko serious, basi aache yote akirudi tz akae atleast 6months atamjua yule amtakaye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom