Nimeipenda tovuti(website) ya TFF

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
119
Tanzania Football Federation

Kwa kweli nimevutiwa na tovuti ya TFF ilivyo sasa hivi mara ya mwisho kuitembelea ilikuwa haivutii kabisa hivyo niliachana nayo, lakini leo nimeipitia inavutia.

Ushauri mdogo waweke section ya livescores ya mechi za ligi zote zinazokuwa zinachezwa siku husika kwa kweli watapata watembeleaji wengi sana.

http://www.tff.or.tz/
 
Back
Top Bottom