Nimeipenda staili hii ya kivazi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php
 
Attachments

  • Immaginata.jpg
    Immaginata.jpg
    64.8 KB · Views: 966
Mfunyukuzi utakuja kufungwa siku kwa kueka picha za watu live bila hata ya kuficha nyuso zao

Back to the topic: hako kanguo kamekaa kimtego zaidi kwa akina kaka..................i should get myself one of those dada sijui kaipatia wapi hiyo!!!
 
Angalia kalivyo halafu kashone.
 
HhHhHhHhiiiiiiiiiii kitu reachable fasta, no disturbances.Aksante mkulu endelea kutuwekea hivyo viosha macho.
 
Mfunyukuzi utakuja kufungwa siku kwa kueka picha za watu live bila hata ya kuficha nyuso zao

Back to the topic: hako kanguo kamekaa kimtego zaidi kwa akina kaka..................i should get myself one of those dada sijui kaipatia wapi hiyo!!!
Unataka kututega?? mbona bila hiko kinguo mi ushanitega tayari!!!
 
Yale yale ya kuwa baridi na kupooza. Vazi gani hilo sasa na wengine wataenda nalo hadi kanisani, kwenye msiba, sokoni n.k
 
Mhh hii pic huyu dada namjua kaolewa na mdhungu hivi umemuomba pic zake jamn looool!
 
[QUOTE=Maria Roza;944544]Mhh hii pic huyu dada namjua kaolewa na mdhungu hivi umemuomba pic zake jamn looool![/QUOTE]

acha uongo huyu dadakaolewa na mzungu wa wapi , huyu ni mke wa jirani yetu tunakaa nao mtaani na ana mtoto mmoja wa kiume, maria rosa na wewe mmbeyaaa.
 
Mfunyukuzi utakuja kufungwa siku kwa kueka picha za watu live bila hata ya kuficha nyuso zao

Back to the topic: hako kanguo kamekaa kimtego zaidi kwa akina kaka..................i should get myself one of those dada sijui kaipatia wapi hiyo!!!

nunua material kkoo, njoo pale kwa fundi Ally akushonee, na hivi hakina lining bei ya kushona haizidi elfu 3 za ki-tz
 
[QUOTE=Maria Roza;944544]Mhh hii pic huyu dada namjua kaolewa na mdhungu hivi umemuomba pic zake jamn looool!

acha uongo huyu dadakaolewa na mzungu wa wapi , huyu ni mke wa jirani yetu tunakaa nao mtaani na ana mtoto mmoja wa kiume, maria rosa na wewe mmbeyaaa.
[/QUOTE]

Hahha hha anaitwa Aisha juma selungwi na kaolewa na Muitaliano una lazaidi??:pound::pound:
 
Hivi hilo ni pozi au ni mlemavu? Mimi nilifikiri ni wale akina "si-riziki" kumbe msichana!
 
Hahha hha anaitwa Aisha juma selungwi na kaolewa na Muitaliano una lazaidi

kwa umbea HUJAMBO...KAZI KUTAJATAJA MAJINA YA WATU WE KWENU SI KANYIGO NA HUYU DADA KWAO IRINGA UMEMJULIA WAPI SASA.
 
Kama kivazi umekipenda, na pic unajua ulikotoa, kama umeokoteza tu pic mwenyewe humjui, hivyo wadau wamekupa details. Halahala kaka/dada kutoa photocopy yake kwa mafundi baada ya kupata details za kivazi chenyewe. Hili swala ungekuwa na uwezo wakulimaliza tu nje ya jamvi.UCHOKOZI TU, ILA WENGINE WANADAI WAMESUUZA KOPE NA MBONI ZA MACHO YAO TUKUKA, MIE SIMO.
ni maoni tu.
 
Hahha hha anaitwa Aisha juma selungwi na kaolewa na Muitaliano una lazaidi

kwa umbea HUJAMBO...KAZI KUTAJATAJA MAJINA YA WATU WE KWENU SI KANYIGO NA HUYU DADA KWAO IRINGA UMEMJULIA WAPI SASA.

Hivi umetumwa au sorry sijazoea mambo ya ugomvi mie
 
Back
Top Bottom