Tutafika
JF-Expert Member
- Nov 4, 2009
- 1,443
- 631
inawezekana yupo humu kwa ID nyingine
Yupo nina uhakika 90%. anataka kutuhubiri bila kutueleza mamilioni aliyochukua mgodini kipindi cha uchaguzi anayalipa vipi. Mtoto wa fisadi Yusuf
inawezekana yupo humu kwa ID nyingine
JMakamba We may run, swim, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason
for the journey, "A BETTER COUNTRY". 36 minutes ago
Mkuu unajua leo siku nzima nilikuwa naipitia Katiba yetu na kuikuta ni bomba sana ktk maswala ya Ujenzi wa Taifa na lipi common goal kama ulivyosema, lakini tumeshindwa kufuata karibu yote yaani sasa hivi tunaendeshwa na katiba isiyokuwepo. Ni wanafiki kama tulivyo wanafiki ktk imani za dini ukisoma vitabu vinasema hivi waumini tunafanya tofauti.. Nakuomba sana ebu pitia Katiba utazame jinsi inavyopiga vita mambo yote machafu tunayoyafanya leo sasa najiuliza hiyo better country ndio ipi?..maana hata kwenda motoni inaweza kuwa better kwa shetani alotaka kwenda huko.
msiwe mnawapa watu credit kwa slogans ambazo sio za kwao, huo ni msemo maarufu ambao haujatungwa na January
Sure, the guy should be on the list of verified. Mawazo yake yanahitajika kwa uwazi hapa
mawazo yake kuandika one liner kama hizi? mawazo gani hayo? mbona watz mnadanganyika na vitu vidogo nyie ahh! amefanya nini huyu mh katika kusukuma chama chake kirudi kwenye mstari sawa wa kutuletea maendeleo? sana sana amekua kimya kwenye suala zima la ufisadi ambao ni tatizo kubwa kiuongozi na kimaendeleo nchini.
nitawezaje kujadili kilichomo kwenye ujumbe wakati nyinyi wenyewe mmemweka aliyeleta ujumbe kwenye pedestal?Take the content and leave the shell. He is just a vessel who carried this message. So discuss the content not the person
nitawezaje kujadili kilichomo kwenye ujumbe wakati nyinyi wenyewe mmemweka aliyeleta ujumbe kwenye pedestal?
Mada inaitwa "Hii toka kwa January on Twitter," well, hatudanganyiki, huo msemo sio wa January Makamba, ubakizeni huko huko twitter, sijui facebook ndio mtadanganyana huko, sio JF.
Watanzania tumeamka sasa hivi, ule wakati wa Nyerere kutafsiri misemo ya Winston Churchill ya WWI kumchimbia mikwara Iddi Amini, imepitwa na wakati.
Sioni sababu ya kutuletea vitu vya wanasiasa wetu au bloggers walivyoviandika kwenye kurasa zao huko hapa JF sababu kama wangekuwa wanataka tushirikiane nao wangetuletea huku moja kwa moja sababu kwa hali ya sasa JF ni kubwa kuliko mitandao mingi tu ya kijamii hapa home, hvyo kwenda kuchokonoa mambo ya mtu kwenye tweeter yake na kutaka tuijadili hapa ni sawa na umbea kwamba tunajadili kitu ambacho mwenyewe hakukilenga kwaajili yetu, ndio maana huwa sipendi hii tabia ya kuanzisha thread kwa kurupua hoja toka kwenye kurasa za fb ya mtu au twitter ya wanasiasa wa bongo au blogger wengine wabongo, sababu wao wanaifahamu JF na hvyo wanapoonyesha kuikwepa ni vizuri tuheshimu maamuzi yao kwa kutokulazimisha kuleta hapa inakuwa haina tofauti na umbea mwingine tu!
Mjadala ulioleta RF ungekuwa mtamu zaidi kama we ungeipanga hiyo quote na kuweka hoja zako kuliko tu kutuambia umeitoa kwenye ukurasa wa JM
simply nili aknowledge source
Naamini umenisoma lakini.
tufanye basi hayo maneno kaongea dr.slaa vp hayapendez
JMakamba We may run, swim, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason
for the journey, "A BETTER COUNTRY". 36 minutes ago
...Balozi wa china majuzi hapa alisema kuwa nchi yao miaka ya 60 walikuwa kama Tanzania. Kauli hiyo ikarudiwa na (nadhani) balozi wa korea majuzi, kuwa nchi yao miaka ya 60 ilikuwa choka mbaya zaidi ya Tanzania....