Nimeipenda hii toka kwa January Makamba on twitter

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
JMakamba We may run, swim, walk, stumble, drive, or fly, but let us never lose sight of the reason
for the journey, "A BETTER COUNTRY". 36 minutes ago
 
A better country siku zote ni zao la common goal. Common goal inatokana na sera endelevu za kitaifa bila kujali nani kazitunga, maadam zina maslahi kwa watanzania wote. Mara ngapi tumeona kiongozi akiingia kwenye madaraka anavuruga yaliyopo na kuja na yake? Mbaya zaidi hii inatokea kwenye chama tawala. Itakuwaje kama mfumo mzima ukabadilishwa kama ndani ya uongozi wa ccm tu kila mtu anakuja na plan yake? Tujue kwanza A better country iko juu ya misingi ipi? Sasa tunafuata itikadi gani? Ujamaa au ubepari au ni itikadi chotara? Haya ndio mambo ya kuweka sawa kwanza ndipo tufikirie nchi ya ahadi.

Balozi wa china majuzi hapa alisema kuwa nchi yao miaka ya 60 walikuwa kama Tanzania. Kauli hiyo ikarudiwa na (nadhani) balozi wa korea majuzi, kuwa nchi yao miaka ya 60 ilikuwa choka mbaya zaidi ya Tanzania. Sasa tutafute kwanza common goal kwa watanzania ndipo hata purukushani hazitatuondoa kwenye mstari

NB: Hizi kauli toka chama tawala zisiwe ni namna ya kutafuta suluhu kutokana na wimbi la mabadiliko linalotokea sasa. You should have known better earlier
 
A better country zaidi ya wanavyofaidi hao ccm?

Ningefurahi kuona January anajitokeza hapa jamvini kama anavyofanya Kingwangalla, Zito, William Malecela na wengine. Alete hoja mara kwa mara ili watu wazijadili:fear:
 
Sure, the guy should be on the list of verified. Mawazo yake yanahitajika kwa uwazi hapa
 
inawezekana yupo humu kwa ID nyingine
 
Sure, the guy should be on the list of verified. Mawazo yake yanahitajika kwa uwazi hapa
He needs to come out with more than quotes.... he needs to walk the walk although am not even sure if he can talk the talk..

Kuhusu qoute iliyokufurahisha mimi sio kivile..., maybe because I have seen it before...., somewhere...

“WE MAY RUN, WALK, STUMBLE, DRIVE, OR FLY, BUT LET US NEVER LOSE SIGHT OF THE REASON FOR THE JOURNEY, OR MISS A CHANCE TO SEE A RAINBOW ON THE WAY

does it ring the bell ? Now that the quote and half, that's the quote worth smiling at..., am sure na hio itakufurahisha
 
"WE MAY RUN, WALK, STUMBLE, DRIVE, OR FLY, BUT LET US NEVER LOSE SIGHT OF THE REASON FOR THE JOURNEY, OR MISS A CHANCE TO SEE A RAINBOW ON THE WAY."

does it ring the bell ? Now that the quote and half, that's the quote worth smiling at..., am sure na hio itakufurahisha

Was thinking on how a mere verse like the one brought at first instance may end up cherishing a someone........................

Thanks for representation
 
He needs to come out with more than quotes.... he needs to walk the walk although am not even sure if he can talk the talk..

Kuhusu qoute iliyokufurahisha mimi sio kivile..., maybe because I have seen it before...., somewhere...

“WE MAY RUN, WALK, STUMBLE, DRIVE, OR FLY, BUT LET US NEVER LOSE SIGHT OF THE REASON FOR THE JOURNEY, OR MISS A CHANCE TO SEE A RAINBOW ON THE WAY

does it ring the bell ? Now that the quote and half, that's the quote worth smiling at..., am sure na hio itakufurahisha

or miss the chance of seeing a rainbow on the way ndio vague. Hii quote kama Makamba kaitoa popote, basi ukweli ulio ndani yake (ndani ya nukuu) ni mkubwa sana. hiyo run, stumble, drive ccm wanaitumia vibaya. Hii migongano wanayoijenga haina lengo la A better country. May be paradoxically a better country will come like a grain of wheat, bearing in mind what ccm is doing on democracy and the opposition
 
mkuu makamba amechukua tu qoute from somewhere (there is no originality) ingawa sio vibaya that's why its called a qoute.. alafu hio rainbow on the way inamaana kwamba we should enjoy the ride.., yaani tusisahau sababu ya safari yetu wala kutokufurahia njiani..

Sasa CCM, Makamba et al wamekosa dira, hatujui tunapokwenda na tumekwama njiani wala hatuna furaha (hakuna pesa na tunafia gizani)
 
A better country siku zote ni zao la common goal. Common goal inatokana na sera endelevu za kitaifa bila kujali nani kazitunga, maadam zina maslahi kwa watanzania wote. Mara ngapi tumeona kiongozi akiingia kwenye madaraka anavuruga yaliyopo na kuja na yake? Mbaya zaidi hii inatokea kwenye chama tawala. Itakuwaje kama mfumo mzima ukabadilishwa kama ndani ya uongozi wa ccm tu kila mtu anakuja na plan yake? Tujue kwanza A better country iko juu ya misingi ipi? Sasa tunafuata itikadi gani? Ujamaa au ubepari au ni itikadi chotara? Haya ndio mambo ya kuweka sawa kwanza ndipo tufikirie nchi ya ahadi.

Balozi wa china majuzi hapa alisema kuwa nchi yao miaka ya 60 walikuwa kama Tanzania. Kauli hiyo ikarudiwa na (nadhani) balozi wa korea majuzi, kuwa nchi yao miaka ya 60 ilikuwa choka mbaya zaidi ya Tanzania. Sasa tutafute kwanza common goal kwa watanzania ndipo hata purukushani hazitatuondoa kwenye mstari

NB: Hizi kauli toka chama tawala zisiwe ni namna ya kutafuta suluhu kutokana na wimbi la mabadiliko linalotokea sasa. You should have known better earlier
Mkuu unajua leo siku nzima nilikuwa naipitia Katiba yetu na kuikuta ni bomba sana ktk maswala ya Ujenzi wa Taifa na lipi common goal kama ulivyosema, lakini tumeshindwa kufuata karibu yote yaani sasa hivi tunaendeshwa na katiba isiyokuwepo. Ni wanafiki kama tulivyo wanafiki ktk imani za dini ukisoma vitabu vinasema hivi waumini tunafanya tofauti.. Nakuomba sana ebu pitia Katiba utazame jinsi inavyopiga vita mambo yote machafu tunayoyafanya leo sasa najiuliza hiyo better country ndio ipi?..maana hata kwenda motoni inaweza kuwa better kwa shetani alotaka kwenda huko.
 
msiwe mnawapa watu credit kwa slogans ambazo sio za kwao, huo ni msemo maarufu ambao haujatungwa na January
 
Back
Top Bottom