cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,552
- 5,447
niliamka zangu walaa sijui kitakachonipata huyoo hadi kkoo...baada ya kumaliza mishe ile narudi nikashikwa mkono na fundi viatu na kuniambia ana dawa ya kusafisha safari boots zangu tsh 300 kwa brush....mi nikajua easy tu...nkampa viatu...namwona jamaaa kila brush anahesabu..ile kuja kushtuka kashahesabu kama mara tisa af huo mguu mmoja tu ndo nakuja shtuka kumbe nadaiwa 2700 ikabd nichukue kiatu changu mdogo mdogo niende hom nikakiloweke kwe maji koz vimekuwa rangi mbili kama zile dawa