Nimeingia wakuu

SURA SIO SOHO

Member
May 18, 2011
43
10
Baada ya Kutafakari kwa muda mrefu na kulitazama jamvi kwa upeo wa juu, NIMEAMUA KUJISAJILI,
Wana jamii forum naomba mnikaribishe:
 
Hapa ni siasa, kukaribishwa ingia mahali wanaita 'Members intro'
 
Kama walivyokuaeleza Bukanga na Gurta hapo juu, sina cha kuongeza ila karibu sana, unakunywa kinywaji gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom