Nimeingia na Pombe Zangu humu leo.....!!!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,138
22,709
Jamani wapendwa wa MMU.. mnisamehe kwa lolote litakalotokea leo.. Mie ni muwazi sana.. nimeingia humu leo nimelewa.. so naomba sana ..muivumilie michango yangu.. Mambo ya sikukukuu... si mwajua wapendwa.. Siku 30 si mchezo.. Lurv you
 
Kama umeweza kufungua jf, ukatype username, password hujasahau basi wewe una akili zako usitufanyie fujo.
 
ukweli mtupu
 
Kama umeweza kufungua jf, ukatype username, password hujasahau basi wewe una akili zako usitufanyie fujo.

hapa nalipo naendele na valuuuuu.. nahisi badae...hali itakua si nzuri...
 
inawezekana hela zote kamalizia kwenye kulewa, ya supu hakuna. nadhani tungeanzisha kaharambee, au aje kwenye kijiwe changu cha kmoto nimpe ofa ya sikukuu
kanywe soup kwanya yaweza saidia
<br />
<br />
 
Jamani wapendwa wa MMU.. mnisamehe kwa lolote litakalotokea leo.. Mie ni muwazi sana.. nimeingia humu leo nimelewa.. so naomba sana ..muivumilie michango yangu.. Mambo ya sikukukuu... si mwajua wapendwa.. Siku 30 si mchezo.. Lurv you
this is what alcoholics call "a moment of clarity"
umeshapiga shots ngapi za valuer?
 
ndugu nilianza na SAFARI..... NIKAONA ninaukame wa muda mrefu... nikaingia ktk valuuuu.. I lurv you all
 
N'nayo chupa ya gongo na kipisi cha msuba hapa nilipo. Nikuletee saa izi vikuchengue zaidi?
 
Saa nzima na ushee tangu uanze kunywa pombe typing errors kuziona mpaka mtu utumie darubini??! .... khaaa, wee unakunywa uji wa mhogo nini??!!
 
Unachapa mkojo wa firauni sio? Jitazame tu vijana wasije kukupasulia mayai,si ujajua dunia imeharibika?
 
Back
Top Bottom