Nimeingia Mlenga Shabaha

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Nimeingia Mlenga Shabaha: hasira nilizopata kutoka kwa msanii huyu anayejifikiria ndiyo rais wetu jinsi anavyo-deal na wafanyakazi masikini wa nchi hii imenifanya nijiunge na JF ili niwe natoa dukuduku zangu.

Sote wana-JF tusaidiane katika kutoa hoja ili tuikomboe nchi yetu. Naahidi nitawalenga shabaha mafisadi wote watokomee mbali!
 
Nina mashaka na wewe mgeni...ila nitakuwa naufatilia msimamo wako siku zote tetettee
karibu sana
 
Mmmh...........!? kutokana na mikwara yako! ipo namna, isije ikawa wewe ni Komsomol!!
 
naona umeingia kwa kasi, tunasubiri hoja zako kwa hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom