Nimeikodi helikopta bila kushauriwa wala kuelekezwa na Jussa wala Hamad Rashid - Mtatiro

Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia ina mwendo mrefu na visiki vingi. Usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika.

CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii.

Watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma mwisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo Tanzania Nzima tunajipanga kisawa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM

:director: Wewe mawaidha ndio yanayokufaa
 
THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF – Chama Cha Wananchi)
Ofisi ya Katibu Mkuu,
S.L.P 10979
Dar Es Salaam, Tanzania.
Kumb. Yetu: CUF/AK/DSM/NKM/B/002/A2/2011/92
Kumb. Yako:………………………………………….. Tarehe; 01 Agosti 2011 2128hrs
AVIATION OPERATIONS MANAGER
P.O BOX DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
YAH; KURUHUSU TUNUNUE MAFUTA YA NDEGE NA
KUYASAFIRISHA KWA KUTUMIA AVIATION DRUMS.
Chama Cha Cha Wananchi CUF kiko katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga.
Katika uchaguzi huu tutatumia usafiri wa Helikopta ambayo imewasili hapa Igunga jana
28/09/2011.

inakuwa barua umeandika tarehe 01/08/2011
hapo chini unasema jana????

Hizo Docmaa magumashi
 
MKuu Mtatiro nakuona hapa, naomba unijibu swali langu
Kwa nyaraka ulizozileta barua yako umeandika tarehe 01/08/2011
arafu ndani ya barua hiyo hiyo unasema "Helikopita ambayo imewasili hapa igunga jana 28/09/2011

Haiwezekani katika uhandishi ukosehe kwa kuproject tarehe ya mwezi mzima unaandika barua tareh 01/08 unaproject 28/09/2011????

Mkuu nakuona hapo unachungulia NAOMBA JIBU

There are currently 223 users browsing this thread. (66 members and 157 guests)

Hapo kwenye red nataka ufahamu kuwa CDM sio jamvi la makapa. Wapo watu makini ambao sio maarufu lakini wanaumuhimu na wanahitajika na CDM ila sio Mtatiro na wala hakuna utaratibu wa kupokea kila anayetoka kwenye chama chake.
Mkuu ukiongea hivyo unakosea kabisa! watu wangapi wametokea ccm na cuf na sasa wamejiunga na CDM? Ni ukweli usiyopingika Mtatiro ni kichwa chenye upeo mkubwa sana. Hivi utamfananisha Mtatiro na Shibuda? Naomba tutumie nafasi hii kumkomvisi Mtatiro ajiunge na CDM.
 
Ushauri wa bure kwako Mtatiro,kamuone James Mapalala atakuelewesha vizuri kuwa CUF ni nani na ni nini.Hapo ukae chuga chuga safari imeshakufika, hela ya RA itakutokea puani.
 
Swali la msingi ni kwamba, kama chama kinapata 100m per month, yeye mtatiro anaweza kuizinisha matumizi ya 50m kwa item moja ambayo impact yake ni ngumu kui-justify??
Kama hakuwahusisha viongozi wake, atuambie yeye ana mandate ya kufanya authorization ya expenditure ya more than 50m ambayo haikuwa budgeted???! Kama ilikuwa budgeted, kwa nini barua yake kwenda aviation authority ni Urgent??
Hili ndilo la msingi analotakiwas kulijibu. hakuna aliyehoji process ya kukodi choppa. Tunachotaka kujua fedha zilitoka wapi. Sidhani kusema tu kwua chama kinapata ruzuku ya Sh100 kwa mwezi haitoshelezi kuonyesha kuwa ruzuku ndiyo imelipia chopa
 
CUF wala msipoteze muda wenu, na ninawashauri wale vijana shupavu watoke huko mara moja na kujiunga na upinzani wa kweli. Kama unadhani ni propaganda za CDM dhidi yenu basi zimewazidi nguvu kabisa. Huku bara hamtakubalika tena. Nataka nikuhakikishie Mtatiro hata ukitokea uchaguzi mdogo Lindi ama Kilwa ama Mtwara na CDM ikatia mguu mtapata chini ya hizo za Igunga. Kubalini ukweli CDM iko juu sana sasa na watanzania wankitazama kama mkombozi wa nchi hii na ndivyo kilivyo. Hakuna jitihada mtakazofanya kurejesha imani kwa wananchi, labda mvunje Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar inaweza kuwasaidia, lakini Chadema imewafunika kabisa.

Sasa mimi napendekeza kitu kimoja, tokeni humo enyi vijana shupavu wapenda ukombozi, jiungeni na CDM tuimalize CCM, kama mtakataa ushauri huu msije mkamlaumu mtu. Haya!!! ya Igunga mmeyaona kama msipojifunza sisi hatutakuwa na la kuwasaidia.
Well said mkuu! Hakika hata mie binafsi napenda mtu au watu kama Mtatiro wajiunge na CDM ili tuikomboe nchi yetu kwa mara ya pili.
 
Gamba 'A' au Gamba 'B' yote ni magamba tuuu,usilete ujanja hapa,,endeeleeni na ndoa yenu,4% YA KURA vs Ruzuku ya CHOPA Hicho ndio kimewatoa barabarani,,na hapo ni Igunga tu je Mkifika MWANZA,ARUSHA,MBEYA Mtakohoa???? ushauri endelea na msimamo wako au think of plan B.
 
Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia ina mwendo mrefu na visiki vingi. Usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika.

CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii.

Watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma mwisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo Tanzania Nzima tunajipanga kisawa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM

Endeleeni kutiana moyo. Endeleeni na propaganda za ohh chadema, chadema, chadema,,,,,,,,, mazao yake ndio haya. Hamuwezi kujifunza nyie. Tangu uchaguzi mkuu kilio chenu ni chadema chadema chadema na chadema wanakata mbuga.
Watanzania sisi sio wajinga tena. Mimi binafsi nimekuwa cuf haswaaaa kabla hata ya wewe mtatiro hujaingia siasa (yaani ukiwa shule na ukiwa unajifunza siasa) kwa hiyo naifahamu cuf kuliko unavyoifahamu. Huwezi hata siku moja kuni convice kwamba ni chama kitakachomletea ukombozi mwananchi, huwezi.......
nakushauri kama unataka mafanikio yako hamia SISI ni M, utafanikiwa sana malengo yako. Lakini usije nyuma ya pazia na longo longo zako, tunawajua.
 
Heshima J Mtatiro.

Mkuu asante kwa kutoa ufafanuzi anayetaka kuelewa atakuwa ameshaelewa asitaka kuelewa kapenda mwenyewe.Hongera kijana chapa kazi ni wakati muafaka CUF ijiulize inapata faida gani kwa katibu wake mkuu kuwemo ndani ya serekali ya mapinduzi Zanzibar.

Mkuu Gongo: unapoza na kupiga gongo hapo hapo.
 
Kweli wewe Kiberengo! Kura 23,000 za chadema Igunga ni za wachaga?

Ahsante sana Julius kwa kuuweka Uwazi na Ukweli hadharani kiasi hiki, huu ndio mwazo wa ushindi wa kweli wa kidemokrasia kwani ina hadi kuifikia ina mwendo mrefu na visiki vingi. Usivunjike moyo wewe na Chama Chako endeleeni na jipangeni na mwishowe mtafika.

CHADEMA ni Chama Kilichokosa fadhila na ihsani lau kama kingalikumbuka mchango wenu wa kuanzisha vugu vugu lakuitafuta Demokrasia Nchini Tanzania hadi kufikia kukata mbuga na milima na misitu na mapori yalioharimu damu na maisha ya Watanzania leo Wangalikuheshimuni kwa kuwa ni nyie ndio MABABA wa Demokrasia hapa Nchini lakini wapiiiii.

Watizame CHADEMA walivyotokwa na haya na Ulafi uliowajaa na zaidi UCHAGA na UDINI ulivyowazonga na waonea huruma mwisho wao hauko mbali ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka.

Sisi tunaothamini misingi ya Demokrasia tunajuwa nyie ni Wapinzani wa Kweli na subirini nasi tushaanza kujikusanya kwa pamoja na kwa kuwa nasi tupo Tanzania Nzima tunajipanga kisawa sawa Kuwashugulikia CHADEMA NA CCM Kuanzia katika vijiji, Kata, wilaya, mikoa yote ya TANZANIA Kuhakikisha 2015 hapa TANZANIA HAPANA CHADEMA WALA CCM
 
hivi humu jamvini hakuna watu wa CUF!!?? Kama wapo ni kwa nini msisimame na Bw. Mtatiro kudifend post yake!?
...au basi kama mambo yako hivi basi Mtatiro kubali kuwa yanayosemwa hapa ndio ukweli unaokufaa
Yes mr Mtatiro! Kwanza pole na hekaheka za uchaguzi. Pia nilibahatika kusoma ile post yako uliyokiri kuwa mmepoteza jimbo la Igunga.
Anywayz nisikuchoshe kwa maneno marefu sana na badala yake acha niende kwenye point. Mkuu Mtatiro wewe ni mmoja kati ya wapi
ganaji wazuri sana kwenye nchi hii ambao wanataka kuikomboa Tanzania kwa mara ya pili kutoka kwa hawa wakoloni weusi! Ila tatizo lako
hiyo sehemu uliyokuwepo siyo mahala pake for sure. Amini maneno yangu CUF haitakufikisha popote,badala yake itakupotezea mda na
mvuto wako kwa watanzania. Mie ningekushahuri ni bora ukajiunga na wapambanaji wenzako ndani ya CDM. Mkuu kwa sasa watanzania
waliowengi matumaini yao wameyaweka kwa CDM....yaani wanaona atrist kidogo CDM inaonyesha uhalisia wa uongozi na utawala bora ku
pitia vikao vya bunge,kwenye media na kwenye mikutano ya hadhara tofauti na vyama vingine. Mkuu jiunge na CDM kwa faida yako na
kwa faida ya nchi yako.....na CDM watakupokea kwa mikono miwili na kwa moyo mmoja. Ninahuhakika wa 70% kama utagombea ubunge
mwaka 2015 kupitia CDM basi ni lazima uukwae ubunge....utakuwa mbunge wa kinondoni au somewhere kanda ya ziwa. Pia habari ambazo
nimezipata toka chini ya karpet kutoka kwa mtu wa jikoni ni kuwa Shyrose Bahnji yuko mbioni kujiunga na wapambanaji wa CDM ili mwaka
2015 asimame jimbo la kinondoni kupitia CDM. Ujachelewa mkuu fanya maamuzi magumu sasahivi kwa faida yako na kwa faida ya nchi yako.
Kaa chini,tafakari,kisha chukua hatua! By Najee Mshikachuma
 
Kwa mtazamo wako imewalipa kweli au ni hasara tu,maana naona na kura zimepungua sana! poleni sana aisee!
 
Hoja haihusiani na chadema wewe ndugu vipi? Inaonekana cdm inakunyima raha sana,haya ya cdm na uchaga na ukristu yametoka wapi. Ulianza vema ktk mchango wako lakini unamaliza kushambulia taasisi zisizo tajwa ktk hoja. Nadhani ukweli uko wazi na ndio unawasumbua wote wenyemtazamo kama wako,cdm ni chama imara na kinakua kwa kasi na uchaga na ukristu mnaotumia ni zile siasa uchwara kama alivyo sema Ra. Ndugu jenga hoja acha tuhuma zisizo na mashiko. Unataka kusema mwz,mby,msm,Arusha,kg. n.k wote ni wachaga, wakristu.
Ndugu j mtatiro kafanya vema kujibu tuhuma,lakini majibu hayajajitosheleza na yameibua maswali kwa upande mwingine kwani inawezekana kabisa kwamba ndugu mtatiro kashughulikia mipango yote kisha ndugu RA au chama chake kikajulishwa na kutoa pesa iliyotakiwa. Ingependeza kama vielelezo vyake vikaonyesha pesa zilivyo tolewa ktk ac za cuf badala ya kusema tu kwamba cuf inapata rudhuku ya tsh mil 100.
 
Nadhani ungeeleza nini ulifata igunga, kunadi sera za cuf au kuitukana chadema!na kwa nini mda mwingi mdomo wako umejaa cdm?hujatumwa wewe?nilihisi mashambulizi yangeenda kwa chama tawala sio cdm kwani hawana hatamu yoyote walioishika j=huoni wewe ni hatari kwa mabadiliko katika nchi?na haya yote uliyoyasema ndo yamefanya mtaji wako wakiasa udodondoke toka kura 11000 hadi 3000?angalia upepo unavuma vp brother!we kijana ila mambo yako ya kizee ndo maana tunasema umetumwa!
 
J m ?hivi hujui upepo unavumaje nchi hii? Cdm hatupambani na cuf bali adui yetu mkubwa kisiasa ni ccm (magamba),cuf nyie adui yenu kisiasa ni nani? Julius nakuona upo safi tatizo sehemu uliposimama si penyewe.njoo nyumbani kwa makamanda wenzio uje tuikomboe nchi yetu .pole na ya Igunga
 
Back
Top Bottom