Nimeibiwa modem

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Wakuu habari zenu nimeibiwa modem ya zain je kuna njia yoyote ambayo naweza kufanya ili nijue anaeitumia...mfano anatumia line gani?, yuko wapi?....
 
Visit Airtel ukiwa na police loss report na kama uliisajili wataitrace na kujua new user
 
very easy fata maelekezo ya kaka Inko.na ukiona umeikosa chukua ya zantel iko bomba sana garama zake ziko chini mno
 
pole sana kaka, fuata maelekezo ya mkubwa hapo juu but iwe mapema coz cku hz wanazichakachua
 
asante wote mlio nishauri na mtakao ni shauri ndiyo naelekea ofisi za airtel ..
 
Back
Top Bottom