Nimeibiwa Laptop

pole sana,tembelea maduka used ya laptops in Dar,unaweza kumbana nayo, Je unafahamu MAC address yake,huwa ipo chini ya laptop.namba ndefu hivi.
if u do it can help u track it online,na ikipatikana unaweza ku prove kuwa ni yako
 
MAC address ndo gani hiyo kakangu? Chini ya mashine kulikuwa na namba nyingi, kuna moja kule dukani waliirekodi kwenye mabuku yao, nitaenda kuuliza kama ni hiyo niwasiliane nawe. Nashukuru sana kwa msaada wako wa awali.
 
itakuwa ndiyo hiyo namba za MAC huwa ni hardware number ya network card,na kila kiwanda kinapewa namba yake ktk kutengeneza network kadi,ni kama IMEI namba ktk simu,

so kinachofuata ni kuuliza watalaam wa mitandao kama kunauwezekano wa kufanya tracking ya hiyo namba ikiingia mtandaoni
 
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.

Unayo serial number (service tag number) ya hiyo laptop? hii itasaidia sana kwa yeyeote atakayepata laptop hiyo ikiuzwa kukutaarifu haraka.
 
Ili kupata serial number unafanyaje???

TB
Kupata serial number or service tag number kwa Dell, ukiigeuza laptop kwa chini utakuta serial number imeandikwa, hata uki boot laptop , uka weza kuingia katika BIOS setup ukienda kwenye Computer Information utapata Serial Number.
 
itakuwa ndiyo hiyo namba za MAC huwa ni hardware number ya network card,na kila kiwanda kinapewa namba yake ktk kutengeneza network kadi,ni kama IMEI namba ktk simu,

so kinachofuata ni kuuliza watalaam wa mitandao kama kunauwezekano wa kufanya tracking ya hiyo namba ikiingia mtandaoni

Poa kaka, nitacheki na wasambazaji wangu wanipe hiyo kitu afu nitawataarifu.
 
Unayo serial number (service tag number) ya hiyo laptop? hii itasaidia sana kwa yeyeote atakayepata laptop hiyo ikiuzwa kukutaarifu haraka.

Ndo hiyo NewMzalendo amenishauri niwe nayo, nitajitahidi kuipata kutoka kwa walioniuzia maana walirekodi katika mabuku yao ya mauzo.
 
kaka niko ujiji nipe go ahead nifanye mambo masaa matatu kitu kinarudi..........si unajua tena mambo ya huko mtu ataanza kujamba ringtone ya XP
 
polesa sana lakini inakuwaga ngumu kuipata maana waliokuibia unawajua wanakuwa wagumu kurudisha hata mimi ilishanitokea
 
Kuna mambo muhimu ya kuzingatia unapomiliki PC especially LAPTOP,kwanza Serial number ambayo unatakiwa uiregister na worldwidelink endapo inaibiwa unaweza kui-tress mahali popote ukaipata.ni technology ambayo Tanzania bado haijaingia ila malysia na nchi za caracas venezuela nimesikia hiyo techno.Pili:IP Adress au number,ni muhimu sana.Kila mwanajamiiforum anajulikana sehemu anakofanyia surfing ya internet kwa IP Adress,
 
Mi walonichukulia siwajui kaka, nafanya kuhisi tu wangu!
 
Kuna mambo muhimu ya kuzingatia unapomiliki PC especially LAPTOP,kwanza Serial number ambayo unatakiwa uiregister na worldwidelink endapo inaibiwa unaweza kui-tress mahali popote ukaipata.ni technology ambayo Tanzania bado haijaingia ila malysia na nchi za caracas venezuela nimesikia hiyo techno.Pili:IP Adress au number,ni muhimu sana.Kila mwanajamiiforum anajulikana sehemu anakofanyia surfing ya internet kwa IP Adress,

Thanx for useful tip kaka, itasaidia hata watumiaji wengine hapo mbeleni.
 
Back
Top Bottom