Nimeibiwa Laptop

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.
 
Sijaipoteza humu, ni Mabibo Hostel, Jengo C, chumba na. 143....
 
okay.... nikiiona ntakutaarifu---wish u mafanikio utaipata
 
Ahsante kaka, neno lako lipate kutimia inshallah... Maelezo ya ziada ni kuwa kwenye kona za motherbody yake nilikuwa nimebandika plaster(kuregulate ile shoti). Alama mojawapo itakuwa alama za plaster zilizobanduliwa kwenye corner za body!
 
Mkuu umeshikwa umetoa na namba ya kilonga??je unapatikana wapi nikiipata??ofisi yako ikowapi??Jina kamili??ila nakushauri Wewe tafuta peas yakununu nyingine chukulia kama umeibiwa simu haziridi zikishachukuliwa mimi yakwangu niliibiwa hotelini Dodoma hadi waleo kimyaaaaa!!!
 
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana taarifa... Au nipandie hewani moja kwa moja@0713049852.

Tangaza dau nikuletee fasta.
 
Pole mkuu! Hiyo brand ya dell ni imara sana. Ninayo kwa miaka mingi bila matatizo
 
Mkuu umeshikwa umetoa na namba ya kilonga??je unapatikana wapi nikiipata??ofisi yako ikowapi??Jina kamili??ila nakushauri Wewe tafuta peas yakununu nyingine chukulia kama umeibiwa simu haziridi zikishachukuliwa mimi yakwangu niliibiwa hotelini Dodoma hadi waleo kimyaaaaa!!!

Mwanafunzi UDSM, yakitokea majaliwa tutatafutana iwe kwa PM au namba zangu hapo juu.
 
Back
Top Bottom