Nimehau password ya external hard disk yangu wd passport 1tb naomba msaada wenu bana

naomben mnisaidie jaman niweze ku recover password ya external yang western digital passport 1tb
 
Kama umetumia software ya Western Digital (WD Sync?) kuencrypt hard drive, hakuna jinsi ya kuiondoa password. Kungekuwa na jinsi ya kuiondoa kungekuwa hakuna maana ya kufanya encryption. Kukumbuka password ndo njia ya kuingia tena.

Pia kama kuna mtu anatumia hii software kama backup ningemshauri aache haraka sana, ina matatizo makubwa sana, hasa data ukifutika katika PC yako ukajaribu kuitoa kwenye HD. Hizi external zote ukinunua ni bora kuziformat na kuachana na software zao za backup.
 
connect hiyo external na computer kisha boot computer yako na cd ya LINUX, kupitia LINUX utaweza kuaccess vitu vilivyomo ndani ya external yako pia kuiformat.
 
ukiweza kuAccess data zako kwa njia aliyokuelekeza mkuu hapo juu, fuatilia Instructions hizi ili kuReset Password ya WD MyBook yako....

Download wdsmartwareupdate here : WD Product Update

Download instructions
:
1- Locate you WD disk entry, click on Windows or Mac according to your operating system.

2 - Click on Download now link at the bottom and download the soft.

Unlock instructions :
1- extract the zip file you've downloaded en run the.exe.

2- select Continue to update and accept Licence Agreement.

3 - Next select Update Firmware

4- Check the check box "I understand ......" under Warning section, a button "drive erasure" will appear.

5- Click on drive erasure button

6- Wait until the end of the process and quit

7- Unplug/turn off the passport and plug it back in. Your WD password port is unlocked
 
Kama umefanya encryption hautaweza kuzipata hata kwa kutumia Linux. Data zinavurugea kwa makusudi ili zisisomeke, kuzipanga unahitaji password.
 
Kama umefanya encryption hautaweza kuzipata hata kwa kutumia Linux. Data zinavurugea kwa makusudi ili zisisomeke, kuzipanga unahitaji password.

Sina hakika sana na unachokisema lakini linux inasaidia utaweza kua acsses data zake
 
Back
Top Bottom