Nimeharibu siku yangu!!!!!!!

Pole sana Mkuu,

Kuna viswali vichache vya kujiuliza kabla ya kuweka mikono kichwani na kuendelea kumshangaa mkulu
*Hayo matumizi yalikasimiwa kwenye bajeti?
*Nini matarajio yake kwa Senema, sorry! semina hiyo elekezi?
*Kama taifa tutegememee nini? Usanii plus plus?
*Ziara zake Wizarani zimekuwa na mafanikio yepi kwake na kwa utendaji wa hao wasaidizi wake?
*Kwanini hakufanyia semina hii dar kupunguza matumizi yasiyo lazima ya vipesa vyetu vya mkopo?
* Anaongeaga nini na hao wasaidizi wake kwenye cabinet meetings?

Samahani, hivi katiba ijayo itaruhusu mwananchi kumkana rais wake kama haridhishwi na utendaji wake? wala msijibu!

Hapo kwenye bold, nchi haina fedha hata za kulipa mishahara kwa wakati. Halafu kiranja mkuu anaitisha semina ya ulaji, with zero (if not negative) benefit. The government is robbing its citizens in a broad day-light!
Under the current regime, this country is suffering and it will continue to suffer.
"No longer at easy".
 
na pia tukiingia barbarani tutapigwa risasi wote na tufe, usitegemee marekani itakuja kukulinda ww mtz, kwani inamafao na ccm, kwa mikataba hewa wanayosaini mkuu.

hapa tujiandae 2015 tuwang'oe kwa kishindo kikuu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom