Nimeharibiwa week-end yangu.... lol!

Issue niliyoiona hapo siyo kutongozwa bali mazingira ya utongizwaji. Yaani mtu unakwenda kwa dokta una shida akutongoze huwezi kujisikia vizuri. Ila kama mmekutana kitaa na mtu akapagawa hakuna shobo hapo.

Hapo umenena mzee wa Rula Yaani mpaka nikufuate ndio unitongoze hata kama umenipenda kweli tafuta muda wako tena nje ya masaa ya kazi na tena uwe umeshatatua tatizo langu la kikazi ili nisijue kama unahitaji rushwa ya ngono
 
Pole.....ila siku ingine uwe unamwambia hapo hapo ili ajifunze sio kwako tu na kwa wengine pia......kama wewe leo umeweza kumuepuka kesho atakuja mwingine atashindwa kumuepuka......ukiweza mrudie ukampe makavu live ili akome na akomae.....pole kwa kuharibu siku.

ahsante sana sweetlady.
sasa hapa tatizo ni kwamba hata kumpaka live siwez manake bado hajasaini barua zangu. na tatizo la huku kwenye halmashauri ni kwamba mabosi wanateteana sana. yaani natamani niamke j4 niambiwe kafariki ili niwe na amani mambo yangu yaende mbele................ hawa wanaume ni waonevu sana sijui kweli kama ukombozi wa mwanamke utakuja tutasubiri miaka elfu
 
Last edited by a moderator:
Mpe jamaa ale vitu akupandishe cheo na mshahara vinginevyo utachakaza sole ya viatu.
 
Daaah!!!!!!...pole tena gfsonwin manake inaonekana kweli umekereka mpaka unamuombea kifo lol....na kwa taarifa yako watu kama hao ndo hawakufagi ng'oooo......wanakufa wale wazuri wenye utu wao......ila nna hakika lazima atakusainia sema kwa kukuchelewesha ......itabidi umvumilie tu au jaribu kutafuta ushauri na kwa watu wengine ....ikibidi kumshtaki fanya hivyo upesi!
 
Last edited by a moderator:
Mijitu kama hiyo mnatakiwa museme majina yao kwani hawastahili heshima hata kidogo. Imezoea rushwa ya ngono hata pale unapokuwa una haki ya wazi. Ungempiga kelbu cha dharau!!!
 
TIQO sasa nitawapa wangapi hadi nistaafu? na je uwajibikaji na kujituma hakuwezi kunitetea hadi nitupie fomula ya vua chupi ndo initetee?
 
Last edited by a moderator:
Daaah!!!!!!...pole tena gfsonwin manake inaonekana kweli umekereka mpaka unamuombea kifo lol....na kwa taarifa yako watu kama hao ndo hawakufagi ng'oooo......wanakufa wale wazuri wenye utu wao......ila nna hakika lazima atakusainia sema kwa kukuchelewesha ......itabidi umvumilie tu au jaribu kutafuta ushauri na kwa watu wengine ....ikibidi kumshtaki fanya hivyo upesi!
sweetlady labda sijui nijaribu kupata msaada wa kisheria zaidi baada ya hiyo j4 naliyosema niende. But nmeumia sana kumbe ukiwa ke hata kama ni haki yako huwez pewa hadi umvulie mtu chupi? kweli kweli haya ndo maisha yetu lol...........sitaki hata kuamini. naumia sana halafu natumika kwa mshahara wa daraja la chini japo cheo nilipandishwa miez sita iliyopita..........yani naumia sana manake akichelewesha nitaanza kulipwa huu mshahara mpya mwaka kesho sasa na areazi mwaka 2015 hii ndo tz. Mungu auwe wote wa staili hii
 
Last edited by a moderator:
Mijitu kama hiyo mnatakiwa museme majina yao kwani hawastahili heshima hata kidogo. Imezoea rushwa ya ngono hata pale unapokuwa una haki ya wazi. Ungempiga kelbu cha dharau!!!

kwakweli akiendelea kuniudhi nitamtaja hapa jamvini na hata takukuru manake naona tunaekeana usiku.
 
mito muda mwingine napatwa na uchungu wa haya maisha na kauli zako kuwa ndio marupurupu yao nazidi kuumia zaid. Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu. Sipendagi mateso au kitu kinachoumiza mwenzenu. sijui nimeumbwaje.

sasa wewe kama haja saini hadi j4 nifanyeje niondoke tu pasi kumuuliza? au niache kwenda hadi muda upite achoke aamue kusaini? na ataamua lini? nisaidie kaka yangu mpendwa.

gfsonwin, binafsi nakushauri hiyo J4 uende kama alivyokuahidi. Ukikuta ameishaifanyia kazi poa shida yako imeisha, ukikuta hajaifanyia kazi atakwambia sababu, ukiona sababu ni kwamba mpake umvulie chupi wewe mwambie tu kwa lugha nzuri kwamba kama ni hivyo acha nitatafuta haki yangu ngazi za juu. Ukishamwambia hivyo we ondoka zako. Then, baada kama ya wiki 1 au 2 hata 3 nenda tena bila hata ya appointment ukamuulizie kama ameishaifanyia kazi. Ukikuta bado njoo tena tukupe mawazo.

Ila siku zote kumbuka haki ya mtu haipotei ila inacheleweshwa tu. Hiyo miezi sita uliyokaa bila kupata mshahara mpya si muda mrefu kwenye serikali yetu. Nafahamu watu waliokaa mwaka na zaidi, tena wengine hadi wanastaafu hawajalipwa mshahara mpya, lakini mwisho wa siku wanalipwa. Kwahiyo don't be desperate coz of six months length.

Halafu dada yangu kama walivyokushauri baadhi ya watu, vita ya kupinga rushwa ya ngono maofisini linahitaji kujitoa muhanga. Ndo maana nilikushauri uwe ngangari kweli kweli, ukilegea tu utakuwa pozeo la kila boss. Huna haja ya kujilaumu kuumbwa mwanamke, tena inabidi uringie uwanamke wako badala ya kuwaza na kumlaumu Mwenyezi Mungu kwa kukuumba hivyo ulivyo.

Take this from me: mwanaume yeyote rijali hasa mwafrika, akisha kuwa na uwezo fulani (fedha, madaraka, elimu, mali, umaarufu n.k) halafu hana roho wa Bwana (yaani he is not committed to God), there is no way ataepuka uzinzi hata kama ameoa! Bila shaka utakubaliana na mimi kwamba ni wanaume (of course na wanawake pia) wachache wana roho wa Mungu. Fanya utafiti wako utagundua nilichokiongea hapa ni sahihi. Sasa ukishalikubali hilo basi huna haya ya kusikitika na kukuona unadhalilishwa. Mwisho wake utashindwa kufurahia maisha bure kwa sababu ya kutongozwa na wanaume.

Tena kama umefuatilia kila comments kuna baadhi wamekwambia wazi kwamba mwanamke kutongozwa ni kitu cha kawaida, ni wewe tu na akili yako kichwani. Hii kauli inatokana na ukweli niliousema hapo juu kwamba watu wengi hawana roho wa Bwana, wanasukumwa na tamaa zao za mwili ndo maana akimuona mwanamke cha kwanza anaanza ku-imagine akiwa mtupu je! matokeo yake ndo hii tabia ya kutongoza tongoza kwa kwenda mbele. Na ukijilegeza anakula kweli, ukipata maradhi shauri yako, ukiharibu ndo yako shauri yako, ukijidhalilisha ktk jamii shauri yako ili mradi yeye alishapata alichokuwa akihitaji!

Kwahiyo we dada yangu hii tabia ya wanaume ya kupenda kutongoza tongozwa ichukulie poa tu, otherwise itakumbua bure akilini mwako wakati huna uwezo wa kuwabadilisha. Tena usipoangalia utaanza kuwachukia wanaume karibu wote. Sasa sijui utaenda kuishi wapi ambako hakuna wanaume! Tena huna haja ya kuwakwepa, just interact with them, wakichenji mada, you stick to your big NO, tena wakishakujua utabaki uhusiano wa kaka, dada, shem na maheshima kibao!
 
Ngekewa nimemchukia kwa kua najua mwishowe ni kutumia cheo chake kinaniumiza. asipo sain barua zangu nabaki na cheo kikubwa mshahara wa cheo cha chini

Yaani kutongozwa tu ndo siku iharibike mamito?
Mi naona kutongozwa ni sehemu ya maisha yetu wanawake,kweli sometimes kutongozwa ni kero ila wote tukijalalamika hapa jinsi tunavyotongozwa itabidi liwekwe jukwaa maalum la malalamiko haya, maana wengine kila siku tunatongozwa tena zaidi ya mara moja lakini mradi mtu unajua msimamo wako ni upi wala haiharibu siku maana ndio au hapana hailazimishwi.

Sioni kama ni dhambi mwanaume kutongoza,maana hiyo ndio njia yao ya kujipatia mwenza,hata huyo mume uliyenae nina imani alikutongoza na hukukasirika sababu alikuvutia.

Kuhusu kusaini barua yako,mimi ningekuwa ni wewe huyo afisa aliyekutongoza ningemjibu vizuri kuwa haiwezekani nimeolewa na barua yangu angesaini apende asipende.Naona unaogopa eti anaweza asisaini hiyo barua,kuwa mwanamke wa shoka,ni wajibu wake kusaini hiyo barua,mimi angeniletea za kuleta kisa nimemkataa tungepelekeshana vibaya hadi angejuta na mwisho wa siku nina uhakika atasaini.
Usiogope mpendwa.
 
Hilo lidas halina akili linakutongoza ofisini? hovyooooo, lipelekee takukuru next time.
 
GALIMA nimewaza mengi sana leo, penyewe hapo mimi ni mwl, na yapata miezi kama sita hivi sijaongezewa salry licha ya kuandika barua zisizo pungua 4. leo nakwenda ili kujua status nakutana na haya sasa kweli hii haki yangu nitaipata au ndo niache tu.

Hivi kwani wenzangu huwa wanafanyeje wnapokutana na hali hii katik ofisi zao? nilihofia kumtusi asije sema nina nidhamu mbaya nikashangaa na kazi yenyewe nimesimamishwa.

Teamo wewe kaa pembeni kwanza au nipe maujanja ya kumuweza huyu bosi manake mwenzio snalipwa mshahara wa cheo cha nyuma kwa miezi sita sasa.

mito muda mwingine napatwa na uchungu wa haya maisha na kauli zako kuwa ndio marupurupu yao nazidi kuumia zaid. Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu. Sipendagi mateso au kitu kinachoumiza mwenzenu. sijui nimeumbwaje.

sasa wewe kama haja saini hadi j4 nifanyeje niondoke tu pasi kumuuliza? au niache kwenda hadi muda upite achoke aamue kusaini? na ataamua lini? nisaidie kaka yangu mpendwa.

kwakweli akiendelea kuniudhi nitamtaja hapa jamvini na hata takukuru manake naona tunaekeana usiku.

Kwa kweli hizi coments zako zimenitia uchungu sana.
Mungu atakusaidia mpendwa gfsonwin upate haki yako.
Ila ukienda hiyo j4 ukakuta upuuzi usimuoneshe machozi atakuona mdhaifu.
Muombe Mungu akupe ujasiri,usijute kuumbwa mwanamke wala kamwe usiamini kuwa tumeumbwa kufanyiwa hivi.
Twende PM tupeane mbinu za kumkomesha afisa huyu,ila ukiwa wakulia lia hutamuweza huyu baba.
Huyu ni rahisi sana kumtia tumbo joto tatizo wewe unavyoongea inaonesha unaamni yeye ndiye mwenye power za wewe kufanikiwa au usifanikiwe.Yeye ameajiriwa tu kama wewe na asipofuata maadili ya kazi anaweza kupoteza ajira vile vile hicho kiti wakakalia wengine.
Nitakuweka katika maombi naona unahitaji faraja.
 
Last edited by a moderator:
wana jf leo yamenikuta mwenzenu.

Jamani leo nimejikuta naharibiwa siku yangu na katibu tawala wilaya ya ...................... baada ya kurusha ndoana yake kwangu leo ofisi kwake. Loh nimekasirika sana.

nilikwenda huko baada ya kuwa nilihitajika kusainiwa barua zangu za job kama ujuavyo adha za waalim ukipandishwa cheo hadi uanze kupokea mshahara mpya ni ishu.

Jamani hivi ninyi wanaume mna nini? kwanini hamuheshimu hizo ofisi tena za umma? kwanini pia mnapenda kudhalilisha wanawake? au mnataka hadi tuekeane bifu kwa kuwaitieni takukuru?

Jitu lenyewe tumbo lipo kama anakunya humo humo mod nisamehe ni hasira tu. ila kaniboa sana. Na ukweli wanawake tunadhalilishwa sana.

Tatizo wanawake wenzenu wanawaangusha wanakuwa weak sana pale wapatwapo shida au msaada wanaliwa ovyo na kutengeneza kuwa ni desturi kuliwa ili upate msaada.WANAWAKE WOTE WANGEKUWA KAMA WEWE TABIA HII INGEKUFA HOngera kwa ujasiri wako dia
 
Kwa kweli hizi coments zako zimenitia uchungu sana.
Mungu atakusaidia mpendwa gfsonwin upate haki yako.
Ila ukienda hiyo j4 ukakuta upuuzi usimuoneshe machozi atakuona mdhaifu.
Muombe Mungu akupe ujasiri,usijute kuumbwa mwanamke wala kamwe usiamini kuwa tumeumbwa kufanyiwa hivi.
Twende PM tupeane mbinu za kumkomesha afisa huyu,ila ukiwa wakulia lia hutamuweza huyu baba.
Huyu ni rahisi sana kumtia tumbo joto tatizo wewe unavyoongea inaonesha unaamni yeye ndiye mwenye power za wewe kufanikiwa au usifanikiwe.Yeye ameajiriwa tu kama wewe na asipofuata maadili ya kazi anaweza kupoteza ajira vile vile hicho kiti wakakalia wengine.
Nitakuweka katika maombi naona unahitaji faraja.

You have priceless comments ma dear queenkami. I believe Mungu atanisaidia tu. Nashukuru sana kw kuniweka kwenye maombi mjoli wa Mungu. Nami pia nitakuombea ili Mungu azidi kukuinua katika kuwafariji wengine ma dear.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo wanawake wenzenu wanawaangusha wanakuwa weak sana pale wapatwapo shida au msaada wanaliwa ovyo na kutengeneza kuwa ni desturi kuliwa ili upate msaada.WANAWAKE WOTE WANGEKUWA KAMA WEWE TABIA HII INGEKUFA HOngera kwa ujasiri wako dia

but Billie what rings inside mens head when doing this? Kweli can you seduce your client? Je nikwasababau ya ofisi kubwa na nzuri, basi mnafikir you can win everything? Au je ni kwakua mnawachukulia wanawake kama kiumbe dhaifu so at anytime mwaweza kumsononesha? nimeamini sasa kundi kubwa la waalim wanaodai malimbikizo yao ni wa kike sasa napata picha kuwa idadi hii inawez kuchangiwa pia na mambo kama haya.
 
Last edited by a moderator:
Pole mwenzangu pamoja na elimu yako jambo dogo lakushinda. Mie nilibambikiwa kesi na jamaa yangu Wa karibu kisa wivu Wa kibiashara. Akaenda kunifungulia kesi eti ni mmemtukana matusi na nimmemtishia kumtoa roho.
Kwenda polisi kachukua maelezo yangu mda wote huu, nimewasha iPhone yangu na chukua video taratibu Hana habari. Wazo langu ni kuwa akiteleza kutaka Rushwa ili asiniweke lockup, niwe na ushahidi.
Mwisho Wa siku Ana niuliza je umekuja na wadhamini maana ina bidi nikueke ndani ilikuwa ijumaa ili jumatatu nikupeleke mahakamani.
Ni kwamwambia nitajidhamini akakataa kwa sababu ya hasira ni kasema poa ni weke ndani hadi jumatatu.
Gafla si akatamka SIKILIZA RAFIKI MIMI NIKOTAYARI KUKUSAIDIA JE WEWE UTANISAIDIAJE. NIKAMWAMBIA WE NIPE TERMS. NIPE KITU KIDOGO RAFIKI KUMBUKA LEO IJUMAA UTAPATA SHIDA. JE ULITAKA KIASI GANI? KADAI LAKI MOJA NIKAMWAMBIA POA. Baada ya hapo banduku nikazima kamera. Nikaplay ile video na kuongeza sauti akawa anajisikia sauti yake akastuka vipi ni MIMI HUYO! Nikamwambia ndio subiri usikilize hadi mwisho. Ilivyokuja issue ya kuomba hela si aka shangaa Kama vile kapigwa shock ya Umeme.
Akanisihi nifute na pili niondoke nisije mwaribia kazi.
Sasa jamaa yangu akaenda jumatatu kujua kilicho jiri jamaa kamfokea anadai umeniletea mashushu waje ni haribia kazi hebu achana na Mimi.
HUO UKAWA MWISHO WA KESI YANGU.
 
gfsonwin, binafsi nakushauri hiyo J4 uende kama alivyokuahidi. Ukikuta ameishaifanyia kazi poa shida yako imeisha, ukikuta hajaifanyia kazi atakwambia sababu, ukiona sababu ni kwamba mpake umvulie chupi wewe mwambie tu kwa lugha nzuri kwamba kama ni hivyo acha nitatafuta haki yangu ngazi za juu. Ukishamwambia hivyo we ondoka zako. Then, baada kama ya wiki 1 au 2 hata 3 nenda tena bila hata ya appointment ukamuulizie kama ameishaifanyia kazi. Ukikuta bado njoo tena tukupe mawazo.

Ila siku zote kumbuka haki ya mtu haipotei ila inacheleweshwa tu. Hiyo miezi sita uliyokaa bila kupata mshahara mpya si muda mrefu kwenye serikali yetu. Nafahamu watu waliokaa mwaka na zaidi, tena wengine hadi wanastaafu hawajalipwa mshahara mpya, lakini mwisho wa siku wanalipwa. Kwahiyo don't be desperate coz of six months length.

Halafu dada yangu kama walivyokushauri baadhi ya watu, vita ya kupinga rushwa ya ngono maofisini linahitaji kujitoa muhanga. Ndo maana nilikushauri uwe ngangari kweli kweli, ukilegea tu utakuwa pozeo la kila boss. Huna haja ya kujilaumu kuumbwa mwanamke, tena inabidi uringie uwanamke wako badala ya kuwaza na kumlaumu Mwenyezi Mungu kwa kukuumba hivyo ulivyo.

Take this from me: mwanaume yeyote rijali hasa mwafrika, akisha kuwa na uwezo fulani (fedha, madaraka, elimu, mali, umaarufu n.k) halafu hana roho wa Bwana (yaani he is not committed to God), there is no way ataepuka uzinzi hata kama ameoa! Bila shaka utakubaliana na mimi kwamba ni wanaume (of course na wanawake pia) wachache wana roho wa Mungu. Fanya utafiti wako utagundua nilichokiongea hapa ni sahihi. Sasa ukishalikubali hilo basi huna haya ya kusikitika na kukuona unadhalilishwa. Mwisho wake utashindwa kufurahia maisha bure kwa sababu ya kutongozwa na wanaume.

Tena kama umefuatilia kila comments kuna baadhi wamekwambia wazi kwamba mwanamke kutongozwa ni kitu cha kawaida, ni wewe tu na akili yako kichwani. Hii kauli inatokana na ukweli niliousema hapo juu kwamba watu wengi hawana roho wa Bwana, wanasukumwa na tamaa zao za mwili ndo maana akimuona mwanamke cha kwanza anaanza ku-imagine akiwa mtupu je! matokeo yake ndo hii tabia ya kutongoza tongoza kwa kwenda mbele. Na ukijilegeza anakula kweli, ukipata maradhi shauri yako, ukiharibu ndo yako shauri yako, ukijidhalilisha ktk jamii shauri yako ili mradi yeye alishapata alichokuwa akihitaji!

Kwahiyo we dada yangu hii tabia ya wanaume ya kupenda kutongoza tongozwa ichukulie poa tu, otherwise itakumbua bure akilini mwako wakati huna uwezo wa kuwabadilisha. Tena usipoangalia utaanza kuwachukia wanaume karibu wote. Sasa sijui utaenda kuishi wapi ambako hakuna wanaume! Tena huna haja ya kuwakwepa, just interact with them, wakichenji mada, you stick to your big NO, tena wakishakujua utabaki uhusiano wa kaka, dada, shem na maheshima kibao!

mito asnte sana kaka yangu mpendwa wa moyoni. Unajua mito you caan not narrate the whole story here, na pi hadi nimeleta hili hapa siyo kwamba ni mwanaume wa kwanza kunitongoza lahasha, wala siyo kwamba alisema kwa lugha ambayo ningeweza kumjibu hapana.

Njia yake ilikuwa ni ya kiudhalilishaji kabisa na mimi nilitoka ofsn kwa hasira. Ngoja nikupm nikwambie kila kitu labda utaelewa nilivyoumizwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom