Nimegunduaaa!!!!

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na ushauri mzuri ni MMU.....Ongeza na wewe..... [:ranger:]
 
Hahahahahaha
hapo kwenye hasira, pressure umeniacha hoi sana na ni kweli ukiwa jukwaa la siasa lazima pressure na hasira ziwe juu!

wana jf wenye amani na furaha zaidi ni wanaChit chat....wenye hasira, visasi,kukonda na presha muda wote jukwaa la siasa...wenye busara zaidi na wavumilivu ni jukwaa la great...wenye vijembe na ushauri mzuri ni MMU.....Ongeza na wewe..... [:ranger:]
 
Kusiko na ban kabisa na stress za maisha......Jukwaa la Utambulisho.
 
Eti jukwaa la siasa wanakonda,presha NO????????

Bado cjakubali hili la jukwaa tajwa!

Ngoja wadau wako kwenye kusherekea Eid Mubaraka waje!
 
We umesahau jukwaa la wakubwa kule muda wote wapo kwenye olympic wana watch tv tuu tamaa zao zinaishia hukohuko hata hawana pressure
 
Kusiko na ban kabisa na stress za maisha......Jukwaa la Utambulisho.

halafu hata jukwaa la elimu watoto wanatoka mapovu wakisubiri selection jukwaa la malalamiko kuna watu nahisi wanakula ban kule maana wanahamishia malumbano huko
 
Kule elimu ni mabishano tu yani nikipita huwa na kufa mbavu sana!
Alaf na kipindi hiki cha selection wanatia huruma sana!
halafu hata jukwaa la elimu watoto wanatoka mapovu wakisubiri selection jukwaa la malalamiko kuna watu nahisi wanakula ban kule maana wanahamishia malumbano huko
 
Eti jukwaa la siasa wanakonda,presha NO????????

Bado cjakubali hili la jukwaa tajwa!

Ngoja wadau wako kwenye kusherekea Eid Mubaraka waje!

mkuu LiverpoolFC wewe mwenyewe ni mzoefu wa jukwaa la siasa... Kama mgeni unaweza kufikiri nchi imeuzwa yote,kikwete anaishi ulaya,malawi wamevamia nchi, waraabu wamepakia, twiga wote mbugani,makinda hajui kabisa kanuni za bunge,Majaji wote ni voda fasta,waislam wamechachamaa vibaya, lowassa ndio rais jk kivuli tu,Chadema ndio wanaongoza nchi na ccm ndi wapinzani,Nappe amechanganyikiwa...........mengine utajazia mwenyewe.!!!
 
umenena kweli,mwanzoni nilikuwa napenda kwenda hilo jukwaa stress na presha 24/7
 
Ndo umegundua leo?
ni kweli mimi ni shabiki mzuru tu wa lile jukwaa. Ila lazima uwe na kwa kupozea machungu,mara nyini nikiudhika naenda Chit chat na MMU huko nakutana na visa na mikasa ya mapenzi, nikipitia comment za wadau lazima nitoke nimetabasamu.!!
 
Naunga mkono. Jukwaa la daktari ni la wagonjwa na wanataka msaada wa haraka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom