Nimegoma....

Ndio maana nashindwa kuacha kondomu jamani. Nimezizoea hadi basi. Najiuliza nikioa itakuwaje, maana nahisi hata huyo mke sitamwamini, nitaendelea na mwendo wa kondomu kama kawa.

Mi hata mtu nikifuatana naye kwenda kupima ngoma na majibu yakawa negative, bado nina hofu tu, simwamini kwa sababu najua hata hao walioko positive leo kuna kipindi huko kabla walikuwa negative.
 
Wazo zuri, lakini pia linakufanya usitulie na mpenzi mmoja kutokana na 'kuamini sana' kondomu. Over reliance of condoms without taking other compansating controls is also dangerous wadau!!

Kumbuka kwamba unaweza kupata UKIMWI ukiwa umevaa condom na kwa njia zingine pia!! Soma tafiti za hivi karibuni za WHO!! Au ni PM for further counselling on the subject!
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Nimerudia mara tatu kusoma maelezo yako,1.Umegundua mkeo anamegwa na njemba wawili[sio mmoja] na hatua uliochukua ni kususa? 2.Umetoa ruhusa aendelee kumegwa na watu bee? 3.Lengo la kufanya uchunguzi lilikua nini? Maoni yangu-jogoo wako hawiki wacha mama apooze moto nje.
Umenikumbusha wale juha watatu waliobishana nani hataki mchezo kati yao mmoja akasema usiku wa harusi mkewe alimletea zakuleta basi jamaa akasusa mpaka muda huo na mkewe ana watoto wawili na hajamuuliza ni wa nani kwani yeye hataki mchezo.
Kama walivosema kina dada wengi humu na kina kaka wachache nahisi wewe ndio tatizo,ni maoni yangu tu.
 
What i can say JF nimejifunza kuwa tumetofautiana manake kuna watu wana Uvumilivu jamani. Kwingine au kwa mwingine hii ingeshakuwa murder case kitambo

hata mimi bado nashangaa hapa Sipo, yaani mkeo anatoka nje na wanaume wawili halafu bado unakuwa lala nae nyumba moja ati unagoma...si shabikii maugomvi lakini hiyo sio reaction ya kawaida kwa kitendo kama hicho jamani, hata wale wapole sana angalau huwa wana enda sehemu ku digest the news kwa muda kabla hawaja anza kuyakabili maji marefu

ama labda tabia hizo za ubazazi ni kawaida tu kwenye hiyo ndoa, yaani na yeye ni mtokaji mzuri tuu na mkewe anajua..
 
Ndio maana nashindwa kuacha kondomu jamani. Nimezizoea hadi basi. Najiuliza nikioa itakuwaje, maana nahisi hata huyo mke sitamwamini, nitaendelea na mwendo wa kondomu kama kawa.

Mi hata mtu nikifuatana naye kwenda kupima ngoma na majibu yakawa negative, bado nina hofu tu, simwamini kwa sababu najua hata hao walioko positive leo kuna kipindi huko kabla walikuwa negative.

usi vi amini sana hivyo vimipira, vina weza kupasuka vilevile JUU ya hiyo mipira uwe na mpenzi mmoja ambaye angalau una hisi ni mwaminifu...
 
Kumuamini demu sasa ndilo tatizo langu kubwa. Naona bora kuiamini kondomu kuliko kumuamini demu.
 
hiyo ni kisebu sebu na roho papo.
ukiendelea kuzira ndio mamaa atahamishia majeshi sehemu
nyingine usiyoijua na kuendeleza libeneke. kwanini afe njaa bana?
 
Ndio maana nashindwa kuacha kondomu jamani. Nimezizoea hadi basi. Najiuliza nikioa itakuwaje, maana nahisi hata huyo mke sitamwamini, nitaendelea na mwendo wa kondomu kama kawa.

Mi hata mtu nikifuatana naye kwenda kupima ngoma na majibu yakawa negative, bado nina hofu tu, simwamini kwa sababu najua hata hao walioko positive leo kuna kipindi huko kabla walikuwa negative.

hahahah Mtu B kwa staili hii hautaoa kabisa wewe
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Mkuu hujachelewa sana kweli? I mean kama ndo kumegwa hivyo ameanza siku nyingi kama kuna kale kamdudu itakuwaje? ama unampa the benefir of doubt
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema
mwendo mdundo hakuna kulala asikufanye *****:(
 
mmmn pole sana, maisha ya ndoa ya miaka hii ni kiboko hayatamanishi kabisa. kuwa na wanaume 2 nje huyu ni changudoa sijui anatafuta nini. lakini dawa uliyompa ni kbwa sana ila muhamishe chumba kabisa for sometime hakika atajirekebisha na kukuomba msamaha, asipofanya hivyo basi ye anayake.
 
asante sana remmy ukweli sasa naona dalili zipo wazi tena ni mgumu sana kuomba radhi yaelekea ni mzoefu sasa naanza kupanga namna ya kufanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom