Nimegoma....

Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Wewe unacheza tu, hujagoma wala nini.

Hapo hamna cha kugoma wala nini, either unamtaliki au mnakaa muongee muendelee, habari za kugoma ni habari za girlfriend boyfriend wa high school.no wonder mwanamama anatafuta vitu nje.Mwanamme unamletea ubishoo.

Amua moja, unataka kumuacha au unataka kuendelea naye.Si unakuja hapa kutafuta sympathy watu wakubembeleze uache "mgomo".
 
Hivi ni kweli hizi story au unataka kutuchangamsha akili zetu? ndio ndoa baadhi zilivyo hivi?

Natilia shaka hii story, kitendo anachodai mkewe amefanya na reaction yake mtendwa havina uwiano. Hizi ndio zile story za wanywa kahawa magengeni!
 
huyo mwanamke hakufai, angemegwa na mmoja tungesema ujamlidhisha ndio kaama katafuta wa kukusaidia japo na yeye apate kastarehe ka kufika peak, lakini njemba mbili, hiyo ni dharau ya juu mno, hata akiomba msamaha itakuwa hauna maana, kwani JASIRI HAACHI ASILI
 
What i can say JF nimejifunza kuwa tumetofautiana manake kuna watu wana Uvumilivu jamani. Kwingine au kwa mwingine hii ingeshakuwa murder case kitambo
 
Binafsi, kutokana na uzoefu nilionao nina mambo kadhaa juu ya suala hili,

1. Kwanza siamini kama kweli hili jambo limetokea kwako, hii ni kutokana na reaction yako ilivyo ya 'kitoto' unless huyo binti ni girlfriend wako tu.

2. Hizi hoja za kwamba ooh labda humridhishi mkeo sidhani kwamba zinajibu kikamilifu hoja ya kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa! Kisaikolojia, hamasa ya mapenzi kwa wawili huwa juu sana wanapoanza mapenzi, kadiri siku na miaka inavyoenda hii hamasa hupungua mpaka kufikia hatua mpenzi wako hata akiwa mtupu kabisa hushituki kwa lolote. Hii upelekea wote wawili kupunguza makeke katika mapenzi yenu. Hapa ndipo wengi wanapoanza kutoka nje taratibu kutafuta hamasa mpya.

3. Inapofikia hatua hiyo ya pili, BUSARA na MALEZI ya mtu katika mapenzi ni ya muhimu zaidi kuliko hata mapenzi yenyewe katika kuamua kwamba wewe utabaki kuwa na mke/mume wako mpaka kufa bila ku cheat wala nini!!

4. Katika mazingira kama hayo, maudhi yoyote ndani ya ndoa (hata kama ni madogo kiasi gani) hupelekea mume/mke kuanza ku cheat kidogo kidogo.

5. Unapogundua mkeo/mumeo ana cheat, uamuzi wako unategemeana sana na mambo yafuatayo;
-hatua miliyofikia kwenye ndoa yenu (mko kwenye 20's or 30's or 40's or 50's (i.e. stage in marriage life cycle). Wanandoa walio na umri wa 20-39 ni rahisi zaidi kuchukua maamuzi ya ku divorce kuliko walioko kwenye 40-60 n.k

-financial stability ya kila mwanandoa separately (individually)

-Idadi ya watoto mlionao na umri wao

-Sociol status yenu na ya wazazi wa pande mbili (kama mko nao kwenye mji mmoja)

-n.k

Kwa hiyo bwana NgomaNzito, kabla ya mtu kukushauri anahitaji kujua vitu hivyo hapo juu kuhusu wewe na mkeo!!
 
Hivi ni kweli hizi story au unataka kutuchangamsha akili zetu? ndio ndoa baadhi zilivyo hivi?

mie mwenyewe nimeona kama kalichukulia cmple wakaki hii ishu ikikukumba mtu kama wewe ni balaa.
 
kaka mambo ya ndoa, mapenzi hayataki ushabiki. mpira wako cheza nao mwenyewe usije mshika mtu ubaya bure kwa kukupa ushauri.
 
Hehehe fikiria ishu kama hii ndo inanikuta mm dah mbona patakuwa padogo panachimbika

ndio mana nakuwa mzito kuamini, kwa mwanaume yoyote hii ishu ni ngumu kwake, acngekubaliana na matokea kirahic namna hiyo, wawili na wote umewajua mmmh nina shaka kidogo.
 
Jamani yamenikuta..
Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na kumshauri aendelee nao tu maana inaonekana kanichoka

Je niendelee na msimamo wangu?? nishaurini vyema

Mkae chini uongeee nae ujue udhaifu ni upi na mfikie suluhisho la kuondoa tofauti halafu muongoze angaza mkapimwe wote wawili ! Kama mpo fiti mnaendeleza kupigana mtinange! Halafu kumbuka kumkumbusha yale mamijusi ya kuongeza mapenzi
 
Du suala la kuongea niliwahi kuongelea yanayotusibu lakini mwanamke alikuwa anaporomosha maneno ka kifuu cha nazi kiko jikoni nikaona nikae kimya hadi nilipogundua haya.
kweli kupima muhimu sasa!!!
 
Hakuna cha kuongea nae wala nini, coz it seems tatizo sio wewe, maana ushasema anamegwa na mindume miwili, ingekuwa mmoja labda but wawili?! Huyo ana pepo, mpe cha mbavu.
 
Binafsi, kutokana na uzoefu nilionao nina mambo kadhaa juu ya suala hili,

1. Kwanza siamini kama kweli hili jambo limetokea kwako, hii ni kutokana na reaction yako ilivyo ya 'kitoto' unless huyo binti ni girlfriend wako tu.

2. Hizi hoja za kwamba ooh labda humridhishi mkeo sidhani kwamba zinajibu kikamilifu hoja ya kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa! Kisaikolojia, hamasa ya mapenzi kwa wawili huwa juu sana wanapoanza mapenzi, kadiri siku na miaka inavyoenda hii hamasa hupungua mpaka kufikia hatua mpenzi wako hata akiwa mtupu kabisa hushituki kwa lolote. Hii upelekea wote wawili kupunguza makeke katika mapenzi yenu. Hapa ndipo wengi wanapoanza kutoka nje taratibu kutafuta hamasa mpya.

3. Inapofikia hatua hiyo ya pili, BUSARA na MALEZI ya mtu katika mapenzi ni ya muhimu zaidi kuliko hata mapenzi yenyewe katika kuamua kwamba wewe utabaki kuwa na mke/mume wako mpaka kufa bila ku cheat wala nini!!

4. Katika mazingira kama hayo, maudhi yoyote ndani ya ndoa (hata kama ni madogo kiasi gani) hupelekea mume/mke kuanza ku cheat kidogo kidogo.

5. Unapogundua mkeo/mumeo ana cheat, uamuzi wako unategemeana sana na mambo yafuatayo;
-hatua miliyofikia kwenye ndoa yenu (mko kwenye 20's or 30's or 40's or 50's (i.e. stage in marriage life cycle). Wanandoa walio na umri wa 20-39 ni rahisi zaidi kuchukua maamuzi ya ku divorce kuliko walioko kwenye 40-60 n.k

-financial stability ya kila mwanandoa separately (individually)

-Idadi ya watoto mlionao na umri wao

-Sociol status yenu na ya wazazi wa pande mbili (kama mko nao kwenye mji mmoja)

-n.k

Kwa hiyo bwana NgomaNzito, kabla ya mtu kukushauri anahitaji kujua vitu hivyo hapo juu kuhusu wewe na mkeo!!

Mkuu
Kama wewe ni marriage counsellor basi hongera sana maana unajua kweli unachokisema.Watu wanarukia majibu wakati hawana upembuzi yakinifu.
Nadhani kwa wale wote waliowahi kukumbwa na tatizo kama la huyu ndugu watajifunza kitu kimoja ama viwili kutokana na ulichokibandika hapa.
1. Kabla hujaamua ku cheat jitathmini wewe na maisha yako ujue athari na mustakabali wake
2. Utakapokuwa cheated ujue kuna dilema kibao katika uamuzi utakaoufanya hivyo usikurupuke kuamua nini cha kufanya.Uamuzi wako wowote ule ujue una costs.Hivyo make informed decision.Usijeamua halafu kesho ukaja hapa kulialia kuwa umeshauriwa vibaya.
AT THE END OF THE DAY ITS YOUR LIFE.
 
kama mna watoto wadogo kaa nae chini mcheki tatizo ninini,ikiwezekana wausishe watu mnao waheshimu kama hamna watoto usiogope mpige chini anza moja,usiishi na mtu usiye muamini!!
 
ngoma nzito hebu njoo utujuze kwanza.....wewe ushawahi kumega nje? (mara nyingi kwa wanaume wa kibongo inakuwa jibu la NDIO)
jee mke wako alijua/ anajua? ....na alichukua htua gani?

vitu hivi vyote vyafaa uviweke wazi kwanza kabla ya kupewa ushauri
 
ndio mana nakuwa mzito kuamini, kwa mwanaume yoyote hii ishu ni ngumu kwake, acngekubaliana na matokea kirahic namna hiyo, wawili na wote umewajua mmmh nina shaka kidogo.

Huwezi kujua huyo mwanamke ni mzuri kiasi gani, anavutia kiasi gani, kiasi cha kuona wivu akireact kwa ukali zaidi huenda akamkosa.
Pia huweziu kujua anampenda sana kiasi gani huyo mwanamke.
We unajua kuna wanawake wengine ukimwangalia tu, yaani daaah,
 
mweupe kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom