Nimefumaniwa naomba mnisaidie!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka"
Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku!
 
Unaanza na soda na nusu kuku, mwisho oh ka reds kidogo mara glass ya wine. Haya njoohapa Lenana saa mbili nitakuwa nimesha rudi mjini
 
Njoo nyumbani kwangu utapata soda, nusu kuku, na kadhalika. Nakui-box direction, ama nikutumie na usafiri?
 
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka" Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku!

Ah mimi nilidhani umefumaniwa na mwanamke wa mtu halafu ukatimuliwa mbio na fimbo au panga mkononi.

Wacha kutumia maneno yasiyohusu mada unayoongelea. Hebu tafuta maana ya kufumaniwa. Ni kwamba wewe uko 'broke' huna fedha mfukoni na havina uhusiano na kufumaniwa.
 
Ndg zangu wana jf.
Mwenzenu nimefumaniwa na"pasaka"
Yaani pasaka imenikuta nikiwa hovyo,sijui hata namna ya kutoka leo,mifuko yote imetoboka wakuu,tafadhari msaada.
Situmii bia,mimi yangu soda na nusu kuku!

Bahati mbaya huna namna ya kutatua tatizo lako leo. Ila kama si mwanachama wa CHADEMA hadi leo jiunge basi nasi (japo nimejiunga juzi tu) ili Pasaka zijazo hali iwe tofauti!
 
Ah mimi nilidhani umefumaniwa na mwanamke wa mtu halafu ukatimuliwa mbio na fimbo au panga mkononi.

Wacha kutumia maneno yasiyohusu mada unayoongelea. Hebu tafuta maana ya kufumaniwa. Ni kwamba wewe uko 'broke' huna fedha mfukoni na havina uhusiano na kufumaniwa.

Mkuu, naamini kilichomkuta mwenzetu (kama ni kweli) nacho ni kufumaniwa!
 
Back
Top Bottom