Nimefumania alfajiri na mapema

sasa wewe ni mtu mzima na umesema una kaz yko.km vp fanya uoe tu haya mambo ya kujibanza milangon kwa watu tena alfajiri sometimes unaweza kudhaniwa mwizi ukapigwa bure na dunia yenyewe ya leo hii kaka ilivyo,chunga sana.
 
Yote maisha wandugu. Wanaume tuishi na wanawake kwa akili. Kwa mwanamke ambaye mmeshawekeana ahadi kadhaa ni zaidi ya mpitanjia. Nashukuru Mungu nimeona mwenyewe

He jamani pole sana! Kuna wanawake njaa zinawatesa sana hawana uwezo wa kuvumilia kabisa, huenda wewe anakupenda kiukweli ila kuendekeza njaa bila kuitafutia ufumbuzi wa kudumu ndio kunamponza...
 
Kidume? kidume analiwa demu wake? dawa ya mwanamke ni rijali wa ukweli, ukiwa rijali wa maana mwanamke haipeleki kwingine, hata alale na njaa.

Jidanganye hivyo hivyo, kama urijali unanunua mboga haya.....
 
Back
Top Bottom