Mwana CCM.
Member
- Jan 4, 2011
- 83
- 10
nimesoma kwa shida sana, sijawahi kupewa hela na rc wangu ila nawachangia kimango cha kutosha
sasa nafantya kazi na bado naichangia nchi yangu pesa nyingi sana, kama hivi ndivo wanavosema walete uthibitisho!, wanaleta ujinga
wao wamekaa kulalama sana,
i came from a poor family but baba yangu alipenda sana elimu and thats why leo hii nipo hapa!.
Wana lengo la kutuumiza kwa kuwa wameshindwa kukimbizana!,
mbona kwenye soka,muziki, sanaa wanatamba sisi tupo kimya sio poa mkiwa shuleni someni,
mbona kuna waislamu kibao wameendelea na wanasaidia wakristu??
Sjaipenda na morogoro polisi inatakiwa kuwa makini sana, bigwa pale inatakiwa wawe makini sana.
My take: Waislamu wekezeni kwenye elimu someni sna qran pia msisahau kusoma masomo ya darasani,
well said