Nimefiwa...

Pole kwa wafiwa wote wa cku ya leo..RAHA YA MILELE UWAPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE, WASTAREHE KWA AMANI ,AMINA
 
...na mtoto wa dada yangu, yaani mjomba'angu, if you know what am I saying. Marehemu aliitwa Nelasi, binti wa miaka 10, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Elu, Morogoro, aliumwa ghafla ugonjwa kama degedege (nina hakika sio), akalazwa zahanati ya Chuo Kikuu Mzumbe kwa siku kadhaa, jana akahamishiwa Hospitali ya Manispaa Morogoro, ambako mauti yalimfika majira ya saa 10 jioni, takribani saa moja baada ya kufikishwa hapo. Msiba uko Chuo Kikuu Mzumbe, nyumbani kwa wazazi wa marehemu.
Alfajiri nitaanza safari ya kwenda huko... BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA. JINA LAKE LIHIMIDIWE!

Pole sana kwa kupoteza mpwa
RIP Nelesi
 
"I am comfortable mama, niache nipumzike."
Hayo ndo maneno ya mwisho kutamkwa na marehemu, akiambia *****...
 
"I am comfortable mama, niache nipumzike."
Hayo ndo maneno ya mwisho kutamkwa na marehemu, akiambia *****...

alikuwa akielea peponi!thats why she said i am comfortable!ni roho yake ndio ilikuwa comfortable kwa vile ilikuwa inaelea inakwenda mbinguni!Nelasi...you are peacefully rested!
 
Back
Top Bottom