Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Dunia ni ndogo sana, nilikuwepo mazikoni jana, nilikuja kwa kutokea upande wa Mariam Zialor, uporoto kumbe ni mtu wangu wa Karibu sana. Tuko pamoja.
Nilikwambia zamani kuwa tutakuwa tunafahamiana baada ya kusoma watu wengi unaowaongelea.
 
inna lillah wa inna ilaihi rajiun.pole sana. Tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote. Nalog off
 
Ooh Pole sana kwa msiba!apumzike kwa Amani na Mungu Akupe nguvu ktk wakati huu Mgumu
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.

YOU are not alone mkuu, tupo pamoja!!!!!!!pole sana iliyobaki ni sisi sote kumuombea mama afikie peponi!!
 
Back
Top Bottom