Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Oooh my son, pole sana. She is in a better place, where there is no more pain. Yuko nanyi, tofauti ni kua she is now watching u from above. Kumbukumbu nzuri juu yake zikusaidie kuendeleza maisha yako. Make her proud of u by being what she wanted for his boy. Mungu akupe ujasiri na nguvu pia. Apumzike kwa amani.
 
Pole sana kwq kufiwa na Mama. Mungu akupe nguvu, uvumilivu na amani yake.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.

Mkuu pole sana kwa msiba,
Nakuombea kwa Mungu akupe ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu,
Apumzike kwa amani mpendwa..
 
Uporoto1 pole saana na Msiba Co-worker,
Msiba wa mama ni mkubwa saana na ni pengo
lisilozibika. Mwenyezi Mungu akupe Imani na Amani
pia, na Umshukuru kwa yoote....


Innah Lillah wa innah Lillah Rajjun

May She Rest in Peace.
 
Poleni sana, mwenyezi mungu ampunzishe Mama kwa amani. Mwenyezi awape ustahilivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom