Nimefiwa na Mama Mzazi

Inna Lillah Wainna Ilayhi Raaajiun....pole sana mkuu Mmungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Mchungaji
Tunawaombea Kwa Mungu Faraja yake maana Yeye ndie mfariji
Na zaidi sana awongoze ktk kipindi hiki kigumu ili muweze kufanikisha yote kwa Hekima Yake

POLENI SANA WAFIWA WOTE
 
إن لله وإن إليه راجعون Pole mkuu, kwa msiba. M/Mungu awapunguzie machungu na awavike ujasiri ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi hakika alicho kichukua Allah ni chake bali kilicho wajibu kwetu ni kumuabudu ALLAH pekee!
 
........Oh my dear X- Paster!! I'm deeply sorry to hear about the loss of your mama.
You & your family are in my thoughts. May her soul rest in perfect peace.
 
well, maybe hutakiwi kuwa JamiiForums kama umefiwa na mamaako mzazi.
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na wazazi wote wawili. Ndo ukubwa huo, mshukuru Mwenyezi Mungu kwa nyakati nzuri mlizokuwa nazo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom