Nimefiwa na Mama Mzazi

Mkuu pole sana sana na msiba wa kuondokewa na mama mzazi. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aipumzishe roho yake.
 
Mkuu pole sana kwa kuondokewa na mama mzazi, Mwenyezi Mungu amrehem na kukupa nguvu
 
pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
 
Pole sana mkuu kwa msiba huu mzito; Mola awape nguvu wafiwa wote majonzi yenu yapewe wepesi. R.I.P. mama.
 
Sisi wote ni wa Mungu na marejeo ni kwake.
Na pasitokee fitina baada yake yeye kuondoka.
Amin .
 
Polesana ndugu, katika kipindi kigumu ulichonacho,kwani twaamini,hayo nimapito ya kila mmoja wetu,mama yetu mpendwa ametangulia nasi twa fuata,mwenyezi mungu ailaze roho ya mamaetu mahalipema peponi.inalilah! Inalilah lajuni.
 
Mkuu, pole sana

Twakuombea kwa mungu akupe nguvu kuvuka kipindi hiki kigumu ambacho umempoteza mpendwa mama
 
POle na msiba mkuu,Mungu awape faraja na imani katika kipindi hiki kigumu.
 
pole sana mkuu, mungu akupe nguvu katika ki[indi hiki cha majonzi
 
Back
Top Bottom