Nimefiwa na babu!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Ndugu zngu wanajf,nimepigiwa simu sasa hvi nikiwa mbal kidogo na nyumbani,nilishtuka lakn ckuwa na jinc! Nilimpenda lakini mwenyezi Mungu kampenda zaidi,babu niliyekuwa nampenda sipo naye tena duniani!
 
Poleni... Mwenyezi Mungu awajalie wepesi katika shughuli yoote.
 
Ndugu zngu wanajf,nimepigiwa simu sasa hvi nikiwa mbal kidogo na nyumbani,nilishtuka lakn ckuwa na jinc! Nilimpenda lakini mwenyezi Mungu kampenda zaidi,babu niliyekuwa nampenda sipo naye tena duniani!

Pole sana mkuu, najua uchungu wako.
Mphamvu wishes you a quick recovery...
 
Ndugu zngu wanajf,nimepigiwa simu sasa hvi nikiwa mbal kidogo na nyumbani,nilishtuka lakn ckuwa na jinc! Nilimpenda lakini mwenyezi Mungu kampenda zaidi,babu niliyekuwa nampenda sipo naye tena duniani!

R.I.P Babu Sir H. Mshukuru MUNGU kwa ajili ya babu yako. tena furahi kwani nina asilimia kubwa kuwa amejitahidi kufanikisha zilizokuwa ndoto zake, mpaka leo wewe tuko JF pamoja, babu anastahili kupumzika kwa aman kabisa.
 
RIP Babu;

POle sana Mkuu. Sote tupo njia moja, tunatofautiana usafiri tu wa kutufikisha huko alikoenda Babu yetu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ndugu zngu wanajf,nimepigiwa simu sasa hvi nikiwa mbal kidogo na nyumbani,nilishtuka lakn ckuwa na jinc! Nilimpenda lakini mwenyezi Mungu kampenda zaidi,babu niliyekuwa nampenda sipo naye tena duniani!

R.I.P babu wa Sir H
 
Back
Top Bottom