Nimefiwa na Babamkwe!

Habari wana JF? Nimefiwa na Babamkwe wangu Mwalimu Juma Ally Nzumbe kwa wale watu wa Nzega wanaomfahamu. Msiba upo Pugu Kajiungeni kichangani kona ya kisarawe kwa wale wanaomfahamu na wangependa kuja piga 0714507507 au 0786507507. Maziko ni kesho saa saba mchana makaburi ya Kisutu
pole sana kwa kumpoteeza bamkwe, RIP!
 
MKuu Pole sana. Duniani wote tunapita bado hatujafika Safari yetu. Na kila mmoja mwenyezi Mungu amempangia siku yake na sababu ya safari yake.

Mungu aiweke roho yake Pema Peponi.

Amen.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
INNALILAH WAINNAHYRAJGHUUN, pole bro M/MUNGU akipenda tutakuwa sote INSH ALLHA.
 
Back
Top Bottom