Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Taarifa ya Msiba.

Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,

Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31 Aug 2010, uko Dar ES salaam kitongoji cha Sinza viwanja vya Sigara. Insha'Allah Mazishi yatafanyika Tarehe 1 Sept 2010. Saa saba mchana, kwenye makaburi ya Kisutu. Kwa wale wakazi wa Dar ES salaam kama wataweza kufika msibani basi watawawakilisha Member wengine.

“Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu na unipe badili yake bora kuliko huo”

إِنّا للهِ وَإِنَا إِلَـيْهِ رَاجِِعُـونَ ، اللهُـمِّ اْجُـرْني فِي مُصِـيبَتي، وَاخْلُـفْ لِي خَيْـراً مِنْـها.
 
Mkuu nawapa pole sana wewe na familia yako kwa kuondokewa na mpendwa mzee wenu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa.
 
Taarifa ya Msiba.

Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,

Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31 Aug 2010, uko Dar ES salaam kitongoji cha Sinza viwanja vya Sigara. Insha'Allah Mazishi yatafanyika Tarehe 1 Sept 2010. Saa saba mchana, kwenye makaburi ya Kisutu. Kwa wale wakazi wa Dar ES salaam kama wataweza kufika msibani basi watawawakilisha Member wengine.

“Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi kwake tutarejea, Ewe Mwenyezi Mungu nilipe kwa msiba wangu na unipe badili yake bora kuliko huo”

إِنّا للهِ وَإِنَا إِلَـيْهِ رَاجِِعُـونَ ، اللهُـمِّ اْجُـرْني فِي مُصِـيبَتي، وَاخْلُـفْ لِي خَيْـراً مِنْـها.

Pole mkuu, mwenyezi mungu awape subra katika wakati huu mgumu, na ampunzishe marhum kwa amani.
 
Pole kaka... Kila nafsi itaonja mauti... Bwana ametoa... Bwana ametwa... Jina la Bwana lihimidiwe...
 
Pole sana Mtani wangu ingawa hatufahamiani.

Mungu awe nanyi katika kipindi kigumu na kumpa Mareheme Mzee wetu mapumziko mema, Amina.
 
Pole sana ndugu yetu.Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akupe nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha musiba wa baba yetu mpendwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahari pema peponi--Amina.
 
Pole sana X-Paster. Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hichi kigumu.
 
.......Pole sana X-PASTER Mungu akutie nguvu na faraja wewe na familia yako katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mzazi.
 
Poles sana ndugu yetu, twakuomba mola iweke peponi roho ya marhum!
 
Pole Sana Mkuu X-Paster,
Nlipokuwa nakusoma enzi za Jukwaa la Dini moto, ulikuwa unazama deep sana ndani ya dini kwa mujibu wa vitabu, hivyo nikafikiria pen name yako ni utambulisho kuwa wewe ni X-Paster, nikidhania wewe ni Ex-Paster kuikweli kweli, huu msiba wa baba mzazi, ndio umenifungua macho, kumbe wewe ni mwana wa Mwanazuoni.
RIP Baba X-Paster.

Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji'un
 
taarifa ya msiba.

assalaamu 'alaykum wa rahmatullaah wa barakaatuh,

ndugu wapenzi, marafiki na member wa jf, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31 aug 2010, uko dar es salaam kitongoji cha sinza viwanja vya sigara. Insha'allah mazishi yatafanyika tarehe 1 sept 2010. Saa saba mchana, kwenye makaburi ya kisutu. Kwa wale wakazi wa dar es salaam kama wataweza kufika msibani basi watawawakilisha member wengine.

“sisi ni wa mwenyezi mungu nasi kwake tutarejea, ewe mwenyezi mungu nilipe kwa msiba wangu na unipe badili yake bora kuliko huo”

إِنّا للهِ وَإِنَا إِلَـيْهِ رَاجِِعُـونَ ، اللهُـمِّ اْجُـرْني فِي مُصِـيبَتي، وَاخْلُـفْ لِي خَيْـراً مِنْـها.

too bad!..too painful...but the almighty god knows how he will better console you!..cry no more broda!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom