Nimefanya yote sasa naomba na nyie mseme

soma alama za nyakati ndugu yangu,mtu anayekupenda kamwe hawez kuwa hivyo ebu achia ngazi uone kama anakupenda jinsi atakavyo haha
 
Huyo binti labda anakuwa na jamaa mwingine tena upo dar yeye mwanza... Kama ni mimi ningeshaacha kumpigia simu then uone kama atakusaka.

Tabu yako pia nadhani amekufanya wewe BUZI as unatoa kila atakacho na labda akupendi wewe

Kwanini hutaki mwingine, je unahuakika aliumia kama asemajo before au alikuona soft akaamua kukutengeneza

Oyaaaa kitoe
 
Uyo dada mwenzangu ananipa shaka kuna wezekano bado ana wasiwasi na wewe hivyo hajakabizi moyo wake kwako.
lkn kuhusu simu ukimpigia kunyamaza kimya hata mpenzi wangu yupo ivyo sijui inakuaje na yeye anasema hana stori hivyo naongea mimi tu msichana ingawa kapiga yeye.
 
Kuna wanaoumizwa,wakipata wenza wengine wanasahau machungu
Kuna wanaoumizwa wakipata mwingine wanamalizia machungu yao hapo(Yaani anaweza akakutenda vibaya sana )kama atachukulia wanaume wote ndivyo walivyo,atalipiza kwako kisasi kutokana na aliyotendwa na mwanaume mwenzio.

Au moyo wake umeshakuwa na ganzi,na anashindwa kupenda na kuamini tena,ila wewe ndie unayempenda,lazima UTAUMIA labda apate counselling.
 
Pole sana bro jaribu kuwasiliana naye kumweleza hisia zako kwake na umuulize anampango gani nawe then kama haeleweki chapa laba utulie umwombe mungu atakupa mwingine
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom