nimefanya kosa kubwa sana najuta

Those where the days bana..... But suprisingly kipindi hicho nilikua naigiza kuishi.... Sasa I am living.....

If I could turn back the hands of time.... I wouldn't change a single thing!
And now u r advising Smile to kuigiza kuishi??????!
 
dah pole sana mim kilichonitokea siku moja acha tu, nilikuwa na nauli tu nkasema niende bank maeneo fulani hiv kufika uko nikakutana na bonge la foleni nkawa mpole nkavumilia nilikaa kwenye folen almost 2 hrs mana mhamara ulikuwa unafanya kazi kidogo then unasema out of services ikafikia mahali ukagoma kabisa wafanyakazi wakasema nendeni mahali fulani hapa hautafanya kazi tena . Duh kujiangalia kwenye pochi sina hata shilingi nkasema ukiona mtu mzima anakuwa omba omba na kuumbuka ndo leo, simu kuchek haina crdt na kukopa kulikuwa haijaanza hyo sysytem. My god hyo siku sitaisahau, hme mbali hata kutembea siwezi nkawaza na kuwazua hapa nafanyaje? Bahati nzuri nkamuona mtu ninayemjua ikabidi nimkimbilie na kumwelezea shida yangu ndo nikaponea hapo. Otherwise ingekuwa story nyingine
daaah pole sana wapuuzi sana wale
 
And now u r advising Smile to kuigiza kuishi??????!

Personal attributes.... walokuzunguka, mazingira.... Is what makes and defines how one lives.... Hivo kila mmoja hupitia different ways, hivo sio necessarily aishi nilivo ishi.... She may not be able to handle it, or yaweza kua below her uwezo.....:biggrin:
 
Mh so she shud be herself eeh? Ilove that.............................AT SOME POINTS I ADMIRE U
 
Lol! Hivi Mungu anakataa sadaka kutoka kwa wafadhili? Afu kwani Mungu kahama huko kanisani kwako? Ungeweza kumtolea swakada hata leo!
 
Back
Top Bottom