Nimefall in Love na Unknown Persnon! Pls Help

FACEBOOK.....SIMU ......ni hatari kwa kusababisha watu kuingia katika uzinzi(SIO MAPENZI) ifike muda SPADE IITWE SPADE and not otherwise....HAKUNA KITU MAPENZI NJE YA NDOA ...NJE YANDOA KUNA....UZINZI,UASHERATI,UKAHABA,UMALAYA,ZINAA [COLOR=darkgreen[/COLOR]]je ndugu yetu umeangukia katika nini?

Hakuna kati ya hivo ndugu
 
hahahahahah lol how sweety thanx..
lakini so hujanisikia tu..
hujawahi niona pia..
hujui nikoje...
Thats what i call true love.....hahahahha lol
because love is blind au vipi???? hahahahah lol

Voltaire
Love is a canvas furnished by nature and embroidered by imagination.
(Voltaire 1954)
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

uwe mwangalifu.rafiki yangu (mwanaume)alifanya hivyo kwa miezi mingi kuja kuomba kuonana kumbe dume shoga.
 
Ni miezi 3 sasa tupo katika uhusiano na mpenzi wangu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kupenda ingawa nilishawahi kuwa kwenye relation bt now nimepatikana coz nahisi upendo wa dhati kwa binti mmoja ambaye 2mejuana nae kwa 4ne so in short cjawahi kutana nae wala picha yake.

Pls advise me is this true LOVE or hii hali inatokea coz ha2jamit nae?

hai wei tu dhe grevu
 
Back
Top Bottom